kisiki kizito
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 676
- 858
Habari Wakuu!!
Hivi Jana tu serikali kupitia baraza la mitihani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha nne Huku hali ikionyesha ufaulu kuongezeka lakini kiuhalisia Huku mitaani wahitimu waliopata division four na zero wamekuwa wengi Kuliko waliopata three Mpaka one kwa mtazamo wang Hayaa ni mambo machache yanayopelekea Matokeo mabovu kwa wanafunzi kwa Sasa
- SMARTPHONE
Kuongezeka kwa matumizi YA cmu Za kidigitali miongoni mwa wanafunzi kumepelekea Wao kyshndwa kuwa makini shuleni
-BETTING
Pia mchezoo huu wa kubashiri umeanzaa kuleta athari kubwa sana miongoni mwa jamii hususani wanafunzi katika miji mikubwa,, na pia ikichukua nafasi kubwa Sanaa kwa wanafunzi
-SEASON FILM
Pia ili limeonekana kuwa Tatizo lingine kwa wanafunzi kuwa wamekuwa wafuatiliaji wakubwa series ususani Za kikorea na kizunguu,, huku zikiwachukua muda Sanaa kuzifuatilia na kusahau majukumu Yao
Kutokana na Hayo mambo Hapo juu hali ya elumu kwa wanafunzi inazidi kuwa mbayaa na ikionyesha dhairi kuwa serikali CYO YA kulaumiwa Sana katika Hili bali wanafunzi Wenyewe,, wewe kama Mdau wa elimu zipi unazoziona ni changamoto kubwa ambazo mwanafunzi anazisababisha mwenyewe kwenye elimu yake!!!