Nahitaji mwanaume atakayekuwa mume wangu

Hahahah...kwel ndoa ndo tulizo la moyo kati ya nafsi ya mwanamke na mwanaume "nakuombea mungu umpate umtakaye ila mungu akupe mwenye tabia uzitakazo wew ili ndoa iwe yenye furaha wakat ote"
 
Mimi ni mwanamke wa miaka 29 nimeamua kuja jukwaani kutoa hitaji langu la moyo, kwa yeyote mwenye mapenzi ya dhati karibu sana, nipo mkoa wa Mwanza, ningefurahi kama ningepata mwanaume wa Mwanza, mimi ni mrefu kiasi, chocolate, mkristo na ni mwajiriwa serikalini.

Ni PM tuzingumze, kama haupo na lengo jitahidi kupita tu.

Asanteni

Ohoooo!!! Na nilivyochelewa kuuona uzi huu!? Sijui njemba zitakuwa tayari zimeniwahi kwa kichuna!?

Nawaza kwa sauti tu!
 
Hahahah...kwel ndoa ndo tulizo la moyo kati ya nafsi ya mwanamke na mwanaume "nakuombea mungu umpate umtakaye ila mungu akupe mwenye tabia uzitakazo wew ili ndoa iwe yenye furaha wakat ote"
nashukur sana
 
Utachagua mpaka ufike 60yrs Walt uwiano wa me na me ni 1:33 we chezea tu umri nitafute Leo week end by 7 mchana nitakuwa dv8 mecco nyakato
 
Mimi ni mwanamke wa miaka 29 nimeamua kuja jukwaani kutoa hitaji langu la moyo, kwa yeyote mwenye mapenzi ya dhati karibu sana, nipo mkoa wa Mwanza, ningefurahi kama ningepata mwanaume wa Mwanza, mimi ni mrefu kiasi, chocolate, mkristo na ni mwajiriwa serikalini.

Ni PM tuzingumze, kama haupo na lengo jitahidi kupita tu.

Asanteni
nicheck hapa meu760@gmail.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom