Recent content by mabutu1835

  1. mabutu1835

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegombana na wife, nikazira kula chakula,na yeye wala hajajisumbua kunibembeleza,hapa nilipo nasikia ubao sio wa nchi hii

    Kama hana hela huyo baba na hana usafiri
  2. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuuza Followers na Kutengeneza TZS 2,000,000+ Kwa Mwezi Kwa Kutumia Simu Yako Tu

    Katengeneze hiyo hela wewe na usidai malipo ya mafunzo
  3. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

    Ukikutana na mwanamke anayependa siasa kwa nafasi yoyote usimvulie ingia mitini fasta
  4. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania Kusema Ukweli Tendo la kutoa haja kubwa ni la aibu sana; ila ni kwa vile tu linafanywa na wote basi tunajifarijimo!!!

    Kwanini kuna watu ukiingia choo cha pili ghafla yeye anaahirisha kukata gogo? Wanaogopa nini?
  5. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania Kusema Ukweli Tendo la kutoa haja kubwa ni la aibu sana; ila ni kwa vile tu linafanywa na wote basi tunajifarijimo!!!

    Nikiwa mdogo niliamini wanawake mavi yao hayanuki na yana sura nzuri. Ila nilichokiona siku moja Imani hiyo ilibadilika.Watu wote wakiwa wanajisaidia hubadilika sura na kuwa mbaya kama huamini jaribu kuingia na kioo ujiangalie
  6. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania Biashara fulani inalipa sana pale ukisimuliwa

    Usiige biashara
  7. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania K Basil sasa ni askofu chini ya kanisa la Gwajima

    Degree zinasaidia nini katika masuala ya kiimani.Ndio maana sasa hivi matapeli ni wengi kwenye nyumba za ibada sababu wasomi wengi ni wezi
  8. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania Huu ukimya wa CHAUMMA Je wamekosa support ya wananchi?

    Movie imefika mwisho
  9. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno

    Muda wa kampeni huu wameshtukia kutumika majukwaa ya ibada kama sehemu za kampeni
  10. mabutu1835

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea!Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo

    Upo sahihi ila wanaume wengi kwenye hilo eneo ni mazezeta
  11. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ajiua na wanawe (4) kwa sumu kisa mke mwenza kajengewa nyumba

    Amekosa uvumilivu Inaonyesha alikuwa ni mwanamke mtata sana jamaa sasa hivi atafurahia ndoa
  12. mabutu1835

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanavyonifanya nijihisi nakosea kila ninachokifanya

    Ukimkojolea demu usipoteze muda wewe kujoa tu na usepe
Back
Top Bottom