Recent content by MABOGOJOHA

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANTRADE wanatafuta wanunuzi wa Korosho

  2. M

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere nitaendelea kupinga upotoshaji wako wenye lengo la kugawa umoja kwa vya pinzani,Mimi Kama mwanademokrasia huru.

    Nondo za Nondo dhidi ya mtu anayetaka kuiangusha ACT Wazalendo. Yawezekana siku akisikia Msajili wa Vyama ameifuta rasmi ACT Wazalendo ataandamana kuunga mkono kutoka Kigamboni mpaka Ofisi za Msajili wa Vyama
  3. M

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

    Umesahau kale kagodoro kwenye makalio
  4. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Serikali ya Tanzania yabwagwa kesi ya kupinga sheria ya Huduma za Habari

    Nawashauri waendelee na wasikate tamaa waende kwenye mahakama zenye uwezo wa kuvifuta hivi vifungu: 14. Appointment and Qualification of Director General 18. Accreditation of Journalists
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, Mbowe na viongozi wengine wa vyama vya upinzani katika kikao cha pamoja leo Dar es Salaam

    Na wengineo wasiotakia mema mapambano ya demokrasia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Msajili wa vyama hakifuti kwanza CCM?

    Duh, ipo siku hili litapata stahiki zake
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Msajili wa vyama hakifuti kwanza CCM?

    Kwa hili mahaba yanampofusha, haoni wala hasikii!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif si amrudishie msajili figo yake yaishe

    Kumtafuta Zitto inatakiwa ujipange la sivyo unaumbuka mchana kweupeeeeeee (In Bwege's voice)
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lema muombe Lowassa msamaha uwe huru

    Nimemsahau unaweza kunikumbusha, kama fursa ya kumbukizi imeshakurejea
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Msajili wa vyama hakifuti kwanza CCM?

    Huu mchezo hauhitaji hasira!
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru afika kanisani bila walinzi akiendesha gari aina ya Mercedes G-Wagon.

    Hivi MK 254 yupo?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lema muombe Lowassa msamaha uwe huru

    Tumeshaona jinsi posti zetu zinavyoyumbishwa na hamahama ya wanasiasa hilo laweza kukutokea. Lakini pia kwa muungwana, kila unapomnyooshea mwenzako kidole ukumbeke vidole vinne vinakuelekea wewe. Kama iwapo inathibitika aidha humu jukwaani au penginepo ulifanya hivyo ni vema ukamuomba radhi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zile bia za nusu bei ziliuzwa wapi jana?

    It was a Black cat in a Black room!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CCM wakivalia nguo za CHADEMA wakashusha bendera za CCM na kuzichoma Chadema inafutwa

    Je makataba wa mwenye nyumba na mpangaji ulikuwepo? Manake kuna katabia ambapo mpangaji kutotimiza masharti ya kuhuisha mkataba.
Back
Top Bottom