Recent content by Mabobo

  1. Mabobo

    Je, Freeman Mbowe alitumia Mkutano wa Chadema kujimwambafy?

    Wewe unafikiriaje? Wewe huelewi kuwa hakuna chama kinachoitisha sisiemu zaidi ya hicho??
  2. Mabobo

    Jamaa nimemsamehe kwa ukweli wake mchungu. Mke wangu simuelewi

    Kama una nia ya kuendelea kuishi naye msamehe maisha yaendelee. Kama huna haja naye nenda mahakamani ukampe talaka.
  3. Mabobo

    Wananchi wanataka maendeleo, wanasiasa wanataka Katiba

    Katiba ndiyo yenye kila kitu. Maendeleo yanayopatikana bila utaratibu ulio wazi na uliowekwa na wananchi, ni mapenzi ya viongozi na wanafanya hivyo kwa ubaguzi kwa kuangalia wanaowaunga mkono.
  4. Mabobo

    Hakuna pepo wala moto, maisha ya binadamu yakiisha yameisha

    Maswala ya imani huwezi kumshawishi asiyeamini. Imani huwa inaumba. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mabobo

    Tujiulize kuhusu majaribio ya tren ya umeme SGR...

    SGR siyo treni bali ni aina ya reli. Angalia reli ya kati na reli ya TAZARA[SGR]. Tofauti yake ni upana wa reli na mataruma. Treni ya umeme lazima kiwe na njia ya umeme inayopita juu ya njia ya reli na kuingia kwenye treni kwa kutumia brashi/antena maalumu.
  6. Mabobo

    Rais Magufuli kushangiliwa kwa nguvu A. Kusini ina maana gani kwa CHADEMA?

    Yeyote anayetoka Tanzania angeshangiliwa na hii ni kutokana na ushiriki wa Tanzania katika kuupiga vita ubaguzi wa rangi. Wengine kule wanaijua zaidi TANZANIA kuliko mtu mmoja mmoja kutoka Tanzania.
  7. Mabobo

    Watumishi wote wa wizara ya ardhi Morogoro kuhamishiwa mikoa mingine

    Kuwahamisha ni UDHAIFU wa kiutendaji kwani ni mkoa gani unaopokea watumishi wavivu? Hapa Mimi naona serikali haijawa making na maana yake ni kuwa waziri ameshindwa kusimamia walio chini yake.Kwani ukiwahamisha wote kule wanapokwenda watawajibika kwa Nani? Kama siyo kueneza ubovu nchi nzima...
  8. Mabobo

    Watumishi wa umma kutomuunga mkono Rais Magufuli 2020!

    Hao watumishi miongoni mwao wapo wanaCCM kwa hiyo unalowaza haliwezekani kamwe. Fanya kazi mbona muda wa ziada unao anzisha miradi ya kukuongezea kipato acha kutegemea mshahara. Ongeza kazi mapato yataongezeka.
  9. Mabobo

    Ubelgiji imewapatia wa Congo Rais, Je Historia itajirudia Tanzania Upinzani ukimpitisha Lissu?

    Nikukumbushe ya KICHAA, ni mtu ambaye hana ufahamu kamili wa mambo , na mara hupenda kupewa heshima akidhani kuwa yupo sawa. Ana maamuzi yasiyo na tija kwa watu wote. Mtu huyo akipewa urais (ingawa uais mtu hapewi) matokeo ni majanga makubwa. Kwa utaratibu wa kumpata RAIS hapa kwetu jambo hilo...
  10. Mabobo

    Kuenea kwa ugonjwa wa kuamini uongo

    Ugonjwa ulionao wewe ni mbaya zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mabobo

    Je, Rais ana washauri wa Sheria? Hïi ndio sheria ya bendera ya Taifa!

    Katiba inayotumika iko kimya haijaeleza chochote kuhusu bendera.
  12. Mabobo

    Ni marufuku kuimba wimbo wa Taifa bila kibali maalumu cha Wizara ya Mambo ya Ndani

    Tunao watu ambao kadiri wanavyopata elimu ndivyo wanavyoendelea kupoteza ufahamu wa mambo. Anafikiri madini ni dhahabu. MADINI=DHAHABU TU ??????????
Back
Top Bottom