Nichagueni kuwa Rais wenu 2025 niwafanyie yafuatayo...

Namba 1 usifyekelee mbali, boresha mifuko
Namba 5 nakubali👊🏽👊🏽👊🏽😁😁😁
Kwenye ubunge hapo sifa zaidi zinatakiwa ziongezwe including ukomo wa ubunge.
Namba 10 nakupa big up next prezidaa😁😁😁
Kabisa mkuu. Nitakufanya uwe mshauri wangu, naona na wewe una exposure flani ya kuifanya Tanzania iwe ulimwengu wa kwanza.
 
Umetunyanyasa kwenye story ya khumbu tukikupa inchi itakua je hapo?
Mkimpa konda msafi madaraka, kwa mwaka wa kwanza kila barobaro lisilo na kazi atapelekwa Sauzi (SA) free akapige kazi huko. Waliobakia Tz nafikiri ndio hao watakao kua nazo! 🤣 🤣 🤣
✌️
 
Kwani makufuli ameahirisha kuwashawishi UVCCM wampigie kampeni ya kuendelea na urais baada ya 2025?
 
Back
Top Bottom