Wadau naomba kujuzwa juu ya chanzo cha mkojo kutoa harufu kali sana aka kunuka wa wakati wa tendo la kukokoa? Aidha naomba kufahamishwa endapo kuna athari zozote kiafya kutokana na hali hiyo yaani kukojoa mkojo unaonuka sana.
Nawaslisha kwa ajili ya kipatiwa majibu na ushauri kuhusiana hoja...
Members wenzangu wa Jf naomba kujuzwa juu ya tatizo la mkojo kutoa harufu kali ( FOUL SMELL) wakati wa tendo la kukojoa. Na je athari yake nini kiafya na kufahamishwa juu ya hoja niliyoitaja hapo juu kwa . Naomba kuwasilisha kwa udadavuzi
Wadau naombeni mwenye kufahamu ufafanuzi juu ya cheo alichotunukiwa Dr.Bashiru Ally sambamba na uteuzi wa Katibu Mkuu Kiongozi. Binafsi sijaelewa kwamba huenda ni sharti ili uwe Katibu mkuu Kiongozi ni lazima uwe Balozi??
Nawasilisha kwa hoja si mapovu
Habari za muda wadau,naomba mwenye ufahamu wa matumizi na maadalizi ya majani ya Mstafeli kwa ajili ya tiba na kinga dhidi ya maradhi mbalimbali ya binadamu. Nimesikia juu juu kuhusu tiba hii, na kwamba majani haya yana faida nyingi kwa matumizi ya binadamu KIAFYA.
Kwa kuwa JF ni kisiwa cha...
Habari za jioni, Wadau naomba kueleweshwa maana ya " kuweka handle" kwenye Twitter. Neno nimelikuta mara nyingi kwenye tweeter , utasikia jamaa anahamasisha kwa kusema " weka handle nikufollow.
Binafsi kidogo msamiati huu siulewewi na napenda kufanya hichokinachokuwa kinahamasishwa yaani...
Mwenzenu kwa muda mrefu sasa nimekuwa na tatizo la kuwashwa sana kwenye unyayo wa miguu tena kwa kubadilika badilika miguu.
Aidha wakati mwingine nimekuwa na tatizo la kuwashwa sana kwenye kiganja cha mkononi hususani kwenye dole gumba au vidole vingine kimojawapo.
Tendo hili limekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.