Tatizo la mkojo kutoa harufu kali

Mabobish

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
366
280
Members wenzangu wa Jf naomba kujuzwa juu ya tatizo la mkojo kutoa harufu kali ( FOUL SMELL) wakati wa tendo la kukojoa. Na je athari yake nini kiafya na kufahamishwa juu ya hoja niliyoitaja hapo juu kwa . Naomba kuwasilisha kwa udadavuzi
 
Kapime ndugu ukute vibakteria vya kwenye kibofu vimefanya magendo au Kuna nyaya za hasi ulikanyaga ama ni ujumbe kutoka kwenye figo zako!.
 
Members wenzangu wa Jf naomba kujuzwa juu ya tatizo la mkojo kutoa harufu kali ( FOUL SMELL) wakati wa tendo la kukojoa. Na je athari yake nini kiafya na kufahamishwa juu ya hoja niliyoitaja hapo juu kwa . Naomba kuwasilisha kwa udadavuzi
Sasa huo ni mkojo au bao?! Maana pia hata mkojo wa kawaida huwa kuna hali hutokea unakuwa wanjano sana na unatoa harufu kali sana usipo mwaga maji chooni au ukokojoa pembeni ya sinki.

Sasa kumbe wewe unaongelea bao la kungonoka....... Ingia hapo google andika maneno haya.... "what causes a foul semen smell" usome zile articles na post mbali mbali ujifunze na kuelewa sababu sababishi.
 
Soma hapa kidogo
Screenshot_20220210_184032.jpg
 
Members wenzangu wa Jf naomba kujuzwa juu ya tatizo la mkojo kutoa harufu kali ( FOUL SMELL) wakati wa tendo la kukojoa. Na je athari yake nini kiafya na kufahamishwa juu ya hoja niliyoitaja hapo juu kwa . Naomba kuwasilisha kwa udadavuzi
Maji na matunda kwa wingi tatizo litaisha
 
Members wenzangu wa Jf naomba kujuzwa juu ya tatizo la mkojo kutoa harufu kali ( FOUL SMELL) wakati wa tendo la kukojoa. Na je athari yake nini kiafya na kufahamishwa juu ya hoja niliyoitaja hapo juu kwa . Naomba kuwasilisha kwa udadavuzi
Gombeyehealthcare
Tunatoa huduma zote ikiwemo.
1. Matatizo ya uzazi kwa jinsia zote
2. Matatizo ya Mifupa.
3. Matatizo ya Mmengonyo wa Chakula.
4. Matatizo yote yabayoambatana na mfumo wa damu.
NB; Tatizo hilo nidogo na linatibika
Wasiliana nasi kwa namba.
+255 678 211 747
+255 733 482 033.
Tunapatikana Dar es salaam ILALA, na mikoani kote.
 
Back
Top Bottom