Mkuu Makusidically,suala la mauaji ya police wanane ni suala hatari na la kuogofya. Ni suala ambalo kila mtanzania mzalendo anapaswa kulilaani kwa nguvu zote.
However, hawa wanaoitwa majambazi hasa katika maeneo haya ya pwani (kibiti,mkuranga et al) hawakidhi vigezo vya kuitwa hivyo. Kwa...
Ustadhijuma amejaribu objectively kuutenganisha uislam na matendo maovu ya watu wachache wanaojinasibu kufanya jihad kwa kuua watu wasio na hatia.
Kwa nilivyo kusoma hapa,wewe unaonekana kutokubaliana nae; kwako wewe mauji ya watu wasio na hatia hayapaswi kukemewa (kama alivyofanya...
Mkuu Mwamakula, mimi nilifika Central traffic police offices Dodoma juzi kutafuta hizo sticker; askari aliyekuwepo counter alisema mambo matatu
1.stickers kwa mkoa wa Dodoma zimekwisha na mtu hapaswi kukamatwa coz sticker zenyewe hazipo
2. Zoezi la kukamata wasiokuwa na sticker hizo hufanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.