Tangia jana Traffick Mkoani Dodoma wanakamata Magari na vyombo vingine kwa kukosa Sticker ya Usalama barabarani
Jambo la kushangaza Sticker hizo hazipo Polisi
Madereva wakienda kukata wana ambiwa zimekwisha
1.Sticker hizo ni Kati ya Tshs3000
2.Dereva akikamatwa ana ambiwa alipe faini Tshs30,000
3.Sasa kama Polisi hawana Sticker ni kwa nini wanakamata?
4.Polisi wana miliki tax,bajaji na vyombo vya moto ni kwa nini magari yao hayakamatwi wakati na wao hawana Sticker?
Jambo hili linatia aibu na kufedhehesha, hasa wakati huu ambao hali ya uchumi ni ngumi na tishio la njaa lipo mbioni