Recent content by Mabenga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Suzuki Carry inauzwa

    Muda mrefu ni dak ngapi ,saa ngapi,siku ngapi?,mwiki,miezi,miaka mingapi?tueleza tujue siyo maneno maneno tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Uhamiaji na watu wa idara ya kazi njooni Kibaha

    Ukipenda kuomba masharti lazima yazingatiwe , hiyo ni sehemu ya package ya msaada,hiyo ni kawaida kwa nchi masikini kupewa masharti.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyeitwa kazini SUMATRA?

    Sumatra hawana ubabaishaji,ukipata una deserve.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona wamarekani wanakuchukia ujue uko sahihi

    Never on earth marekani hawezi kuwa rafiki mwema kwetu na hajawahi . Eeeh baba Mungu umjarie kipenzi rais wetu Magufuli afya njema ,aivushe Tanzania kwenda kwenye uchimi wa kati. Muuongoze aiongoze nchi yetu na Africa pia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Rais mstaafu Kikwete afiwa na dada yake

    Pole mh rais wetu mstaafu,nawaombea faraja iliyokuu itokayo kwa Mungu baba igusee vilindi vya mioyo yenu wafiwa wote katika wakati huu wa majonzi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada lodge/gesti nzuri Tanga Mjini

    Hotel chumba 30,000/=safi ,parking ,self na mengine Tanga eekend hii lazima aende magaoni,kange,na mabondeni huko
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Kwanza kapime hospitalini ili ujue unaumwa nini kwanza ,pili ukikuta ni kikohozi tu nenda kwa sharif hapo ilala bungoni ununue dawa inamaliza everything
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada lodge/gesti nzuri Tanga Mjini

    Nyinda kwa minchi is preferable
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba zikivunjwa Mbezi beach mnafurahia, zikivunjwa mabondeni mnanyanyaswa

    Kwani leo wamevunja wapi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Bona unaleta vitu vya kujadili,good .
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Kuwa mkweli,SUMATRA wanafanyakazi nzuri anzia nsuli za train,bus na meli. Mfano daladala toka simu 2000 hadi mbezi shs 400,hapa kuna km 8.usilaumu tuu toa mifano na ushahidi ueleweke
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nauza simu zangu 2

    Mi nikajua una kitu cha Panasonic
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naanza kuiona haja ya "semina elekezi"

    Darasa ni muhimu,nimeshuhudia waziri mmoja ktk taarifa Itv,akicheza no kama nne,miundombinu,tamisemi,mazingira na kazi. Division of labour and specialization ni muhimu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania CV ya Dr. Hoseah

    Mtamtupia lawama nyingi Dr Hosea,ila amefanya reforms nyingi na kuifanya PCCB sasa kuwa taasisi ya mfano. Kwangu mimi recognition nampa.
Back
Top Bottom