Ulifanya interview ya post ipi?
Watu Ni Wiki ya Pili wapo Mafunzo, Ili Tarehe 2/01/2016 Waanze Mzigo bila Kuchelewa: Hapa Kazi Tu.
Accounts Assistant
Sumatra hawana ubabaishaji,ukipata una deserve.
2.1.2016 itakua jmosiWatu Ni Wiki ya Pili wapo Mafunzo, Ili Tarehe 2/01/2016 Waanze Mzigo bila Kuchelewa: Hapa Kazi Tu.
Kwa wale tuliofanya oral interview mwezi wa 10, je kuna aliyeitwa kazini?
2.1.2016 itakua jmosi