Recent content by mabasso

  1. M

    Kauli ya Diamond katika mtazamo chanya

    Roma haikujengwa siku moja Watu wetu wengi hawaoni umuhimu kwa sababu ya elimu tu Habari njema ni kwamba ccm bado hawajaamka pia Tanzania ya mkapa siyo ya leo kwa upande wa wananchi Alivyofariki Magufuli walijaribu kuirudisha Tanzania ya Kikwete lakini walishindwa watanzania walishakuwa...
  2. M

    Kauli ya Diamond katika mtazamo chanya

    USA watu wanalalamika itakuwa Tanzania Na matendo ya hawa watu ni haki yetu kulalamika
  3. M

    Mfahamu "Mkandala Rufufu" mzee wa kukotola

    Hapa ni kumbukumbu za zamani huyu mwamba ni shujaa wetu enzi hizo
  4. M

    Tuliowahi kuponea chupu chupu kufungwa tukutane hapa kupeana mbinu tulivyokwepa kesi

    Nilivyomuelewa alikuwa na kesi ya kujipatia hela kwa njia ya udanganyifu Wakili wake akamshauri atafute milioni tatu alipe Hiyo ikasababisha kesi ibadilike na kuwa ya madai
  5. M

    Wafanyakazi wa serikali changamoto

    Umewahi kwenda ofisi za serikali? Huo ubabaifu unaokutana nao ulitegemea mambo yawe tofauti kwenye issue nyingine na watu hao hao
  6. M

    Nchi zenye Watalii wengi duniani

    Bado tupo vizuri wa 25 ana mil 16 It means kwenye 50 sisi wa mil 2 tumo
  7. M

    Tetesi: FIFA yadaiwa kuitaka Yanga kujieleza kwa tuhuma za kuichangia pesa za Uchaguzi CCM

    Kwani huyo rais wa klabu pesa za klabu anajichotea na kutumia anavyotaka au kuna utaratibu wa kuidhinisha hilo jambo unaohusisha uongozi mzima?
  8. M

    Katika Watoto wa Marais wa Afrika, Makongoro hakula bata kabisa zaidi ya kwenda Vitani Uganda

    Nilitaka niingie AI kuulizia watoto wa Nyerere
  9. M

    GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

    Baba levo anashinda Unajua umuhimu wa Diamondi kwa ccm Baba levo kwanza anajiweza kwa uchawa alafu ni mtu wa Diamondi ambaye anategemewa kwenye kampeni na ccm
  10. M

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Hiyo nywele ni mitaji ya wauza sox watatu Nikiwa kkoo siku moja manzi kanunua losheni vichupa kama vitano hivi 270 kalipa Sasa muuza sox ukimpewa huyo tayari ni stress kumuhudumia Lakini Mungu ni Mwamba hata wauza sox wanao kama hao sema tofauti yao ni matunzo tu
  11. M

    GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    Swali kama hili linafikirisha sana kwa mtu ninayekuona smart kama wewe
  12. M

    Naombeni ushauri kwa mtoto anayesumbua kula!!

    Nimesema kuna vyanzo vingi vya taarifa mtandaoni mtu aingie kujiridhisha Kuwa daktari tu haitoshi Mpaka sasa hujaleta fact yoyote Wataalam kwa kujua faida za mafuta ya salmon fish kiafya na kwamba hawa samaki hawapatikani kila mahali wametengeneza vidonge vya haya mafuta na mengine yanauzwa...
  13. M

    Naombeni ushauri kwa mtoto anayesumbua kula!!

    Sijui kama unauelewa nazo Unaposema siyo nzuri tupe na madhara yake tukuelewe Salmon ni samaki na kama unaweza kuwapata ukawa unawatumia kama supu basi wana matokeo sawa na hichi tunachozungumzia hapa Dawa kuiangalia ni mafuta halisi ya samaki na shombo ya kabisa Na faida zake siyo tu hamu...
  14. M

    Naombeni ushauri kwa mtoto anayesumbua kula!!

    Hivi ni vidonge vya mafuta ya samaki lakini mbali na vidonge pia kuna mafuta ya samaki ambapo yanauzwa kwenye maduka ya dawa yana matokeo kwa asilimia mia Vidonge vinarange kuanzia 120-160 gharama Lakini mwanangu mimi nilimnunulia mafuta kwa elfu32 Utaulizia mafuta ya omega3
Back
Top Bottom