Recent content by MabaoFungaFunga

  1. M

    Msaada wa jinsi ya kupata atn kwenye startimes

    watakuwa wamestuka wachina .maana ata mimi nilikuwa nakula dubai one hd fresh lakini sasahivi no service kudadeki
  2. M

    Kwa heri mie nimeamua kujinyonga-Wakili Nyaronyo Mwita Kicheere

    NilivyomuelewaNyoronyo Mwita ni kwamba ametumianeno KAMBA kama ni uamuzi wake wa kuikataa serikali kwa mambo hayo mabaya aliyoyasema,na mudawa kupiga kura utakapofikaatachagua chamakingine,akatumia neno KUJINYONGA akiwa na maana kama ccm ikishindwana ikang'ang'aniamadaraka kwa nguvuatapigananayo...
  3. M

    Shamba linauzwa (KIGAMBONI TWANGOMA)

    1 km.its ni karibu na shule ya secondary st gasper
  4. M

    Shamba linauzwa (KIGAMBONI TWANGOMA)

    Nah siyo.mradi mwisho kibada
  5. M

    Shamba linauzwa (KIGAMBONI TWANGOMA)

    Siyo eneo la mradi.mradi unaishia kibada.bei ni 6m per ecter
  6. M

    Shamba linauzwa (KIGAMBONI TWANGOMA)

    Heka 10 zipo,kama wewe ni serious Buyer na unaitaji ni PM tufanye business. natanguliza shukrani :llama:
  7. M

    Toyota raum - for sale

    kaka ntakupa m5.nije kuchukua hiyo gari
  8. M

    Vinegaaaass ILI FUNIKAAAA ile mbaayaaa!

    Watu walijitokeza kwa wingi,stage nzuri na performance ya kufa mtu,
  9. M

    Vinegaaaass ILI FUNIKAAAA ile mbaayaaa!

    Baadhi. Ya wadau waliotinga ktk show
  10. M

    Richard Kasesela nae, eti ana falsafa za mwalimu

    huyu snitch tu kisa ni jirani na JK ndo maana hata ktk safari zake anakuwepo,,na anakafoundation kake kanaitwa: Richard Atufigwege Kasesela Foundation
  11. M

    Shamba linauzwa 2 heka -mwasonga kigamboni

    hamna chumvi wala sukari,wewe kama unataka kufurahisha jamii poa ,but am doing b'ness hapa,zilikuwa 10 heka ,zimeuzwa 6 ,mbili kuna mtu alitaka zisiuzwe atakuja ,muda umepita zimerudishwa ktk soko ,sasa ni 4 heka zipo ,siasa hipo wapi.?wewe ni senoir member kweli...
  12. M

    Shamba linauzwa 2 heka -mwasonga kigamboni

    Haya wakubwa ,heka 4 ndo zimebaki so far , ni 2.5 m kwa heka ,mwenye nia anaweza akaongea , Poleni na swahumu Regards m.funga funga
  13. M

    Shamba linauzwa 2 heka -mwasonga kigamboni

    Wakuu kwani nini maan ya kuweka hiyo namba yangu hapo ???acheni siasa ,mwenye kutaka awasiliane na mimi through that number.
Back
Top Bottom