Dennis eudes
Member
- Feb 1, 2012
- 24
- 8
Kuna channel za ziada kadhaa zinaonyeshwa kwenye startimes, msaada basi wa kuzipata jamani
Kuna channel za ziada kadhaa zinaonyeshwa kwenye startimes, msaada basi wa kuzipata jamani
nitafute hapa 0714-408238 ili nikupe maujanja ili upate channel za bure. nahofia nikiandika jamaa wanaweza wakamaindi.
mi mwenyewe ni ajenti wa startimes, kuna maswali nitamhoji kabla sijampa maujanja.
nenda settingz afu manual searching andika 530 then search!rudia tena with same procedurez then now apply 570 search then you are done
lately channel zote zimevapour, kunanini tena???????????????????
- :disapointed:
watakuwa wamestuka wachina .maana ata mimi nilikuwa nakula dubai one hd fresh lakini sasahivi no service kudadeki
Sio kwamba wameshituka tatizo ni kuwa hivyo ving'amuzi vyenu vya t1 haviwezi shika tena chanel hizo ila c wenye vya dvb-t2 bado tunazipata kama kawaida.Hizo chanel ni za decoder ya ting,sasa wametoka kwenye mfumo huo wa decoda za t1 na kuhamia dvb-t2 hd,ndio maana hamzipati,pole sana kaka kwani ni chanel nzuri sana.