Recent content by Maandiko

  1. Maandiko

    Kuna stori nyingi sana nilikiwa naambiwa kuhusu Iddi Amini nyingi hazikuwa nzuri. Je, kuna ukweli?

    Mkuu nakushauri umpuuze huyo kijana . Uwezo wake katika kujenga hoja upo chini aidha kwasababu hajui vyema anachokijengea hoja au Hana utulivu anapowasilisha hoja zake hali inayopelekea kuruka ruka Kama tumbili . Lakini pia katika historia ni mtupu
  2. Maandiko

    So, how long are you staying ? Tuuchukue!

    Hiki unachowasifia hujui tu nikwanamna gani kinawagharimu.Hii hatua furahi kuiona kwa wenzio hivyo hivyo lakini sio hatua ya kutamani uwe sehemu ya jamii inayoishi katika mazingira hayo. Ukiondoa hizo takataka za kimagharibi kichwani mwako unaweza walau kufikiri sawasawa maana kinachokusumbua Ni...
  3. Maandiko

    So, how long are you staying ? Tuuchukue!

    Mkuu sio kila kitu tunapaswa kukopi . Huo Ni utamaduni wao tukubali na kuheshimu utamaduni wao lakini pia tujivunie utamaduni wetu. Ukiendelea na fikra za namna hiyo ipo siku utanunua vipodozi ubadilishe ngozi yako ili ufanane na hao ambao unahusudu utamaduni wao.. Waafrica wengi bado tunautumwa...
  4. Maandiko

    Misheni kubwa za taasisi ya upelelezi MOSSAD!

    Ulichoandika kinaakisi uwezo wa akili yako kufikiri unastahili kupuuzwa .
  5. Maandiko

    Misheni kubwa za taasisi ya upelelezi MOSSAD!

    Ungeandika tangu ulipoanza kwamba utahitaji mchango wa MBs tujue sio unakuja kutafuta huruma kwa wadau kila wakati . Alafu utakuwa unashida kwenye uelewa wako yaani Bado huwezi kutofautisha kuambiwa Ukweli na kutukanwa ?
  6. Maandiko

    Misheni kubwa za taasisi ya upelelezi MOSSAD!

    Pandisha mkuu amefeli alitegemea kupiga mpunga kutoka kwa wadau kakosa anatuletea frustration zake huku
  7. Maandiko

    Misheni kubwa za taasisi ya upelelezi MOSSAD!

    Utakuwa unashida kwenye uelewa wako yaani huwezo kutofautisha kati ya Ukweli na chuki !! Ulianza mwenyewe kuweka story , ukataka kujua muitikio wa watu juu ya kile unaandika , ukajibiwa kuwa Ni mzuri , ukaona hiyo Ni fursa kuomba hela kwa kisingizio Cha MBs. Sasa kila baada ya post 2 au 3...
  8. Maandiko

    Misheni kubwa za taasisi ya upelelezi MOSSAD!

    Mkuu Kama umeamua kuweka story weka usifanye kuwa mradi. Kumbuka hatukukuomba uanzishe story. Hii Ni dalili ya utapeli na ujanja ujanja kila baada ya vipande viwili unataka hela, kaa nayo Basi ili ije kugeuka kuwa bank upate hizo hela.
  9. Maandiko

    UDSM ndiyo chuo pekee Tanzania kati ya vyuo vikuu 50 vinavyoongoza kwa ubora Afrika

    Hujui kuwa Yesu alikwisha kurudi ? Unan'ang'ania siku isiyoweza kukuokoa !! Kama ulikuwa hujui alirudi siku ya pentekoste Kama roho
  10. Maandiko

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Mkuu habari yako ninandugu yangu yupo Ni jinsia ya kike naomba mawasiliano yako Kama hutojali nimuunganishe mchongo huu Asante
  11. Maandiko

    Wachungaji mnaosema tukiwapa sadaka tutabarikiwa kuwa wateja wa kwenye ma Mall, mnajiona mko sawa?

    Mkuu Mimi sipingi kabisa utaratibu wa kutoa sadaka maana najua Ni mfumo ambao umebeba lugha ambayo Mungu pekee anaweza kuielewa lakini kile tunachohubiriwa kwamba tutoe ili tubarikiwe huwa naona si Sahihi baraka za Mungu kwetu hazitokani na sadaka tunazotoa Ayubu 41:11 inaonyesha na kuonya juu...
  12. Maandiko

    Dada zetu wanaohudumu kwenye Bar wanaishije kwa Tsh. 30,000 kwa mwezi?

    Mkuu jaribu kufikiri kuwa hiyo laki 6 unayolipwa Kuna mtu akisikia kuwa ndo bajeti yako ya mwezi haamini Kama unaishi na familia kwasababu kwake hiyo Ni pesa ya kupata vinywaji tu kwa wiki moja . Point yangu Ni kwamba tunaishi kadiri ya kipato . Bajeti yake haiwezi kuwa sawa na Bajeti ya...
  13. Maandiko

    Kikosi kazi au Weusi ndiyo wameua?

    Endelea kusikiliza mchele na Gele rap bado ngumu kwako . Imani yangu Ni kwamba ukitoka hapo utahamia kwenye Trap . Bado kichwa chako hakiwezi kuhimili Punchlines. Walichokifanya Kikosi Kazi Ni zaidi ya Diss unaweza kuita maangamizi ya halaiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom