Recent content by maambati

  1. maambati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti: Mahusiano / Ndoa zenye Wapenzi ambao Mwanaume ni mrefu kuliko Mwanamke hudumu kuliko wale ambao wana Kimo sawa

    ACHANA NA HAKA KAJAMAA DISH LILISHAYUMBA KITAMBO, HUYU JIRANI YANGU HUWA KICHWA CHAKE SIO KIZIMA
  2. maambati

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu amshtaki Rais Magufuli Mahakama Kuu kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    wewe na yeye nani arijojo zaid
  3. maambati

    JamiiForums Tanzania European Parliament resolution on Tanzania

    nimekuelewa
  4. maambati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa mwisho tukutane hapa

    :p
  5. maambati

    JamiiForums Tanzania Mustapha Kambangwa afikishwa mahakamani kwa mashtaka manne likiwemo la kukwepa kodi na kujipatia Sh.bilioni 188.9 kupitia mashine ya kieletroniki (EFD

    TUTAFAKARI PAMOJA Kama ikithibitika kuwa ‘dogo’ atakuwa amejipatia kiasi hicho cha fedha inatosha kuamini hilo bila kujiuliza amezifanyia nini hapa mjini? Kwa kuwa mambo haya yako mbele ya mahakama si vyema kuyajadili sana badala yake tusubiri haki itendeke ndipo tutakapokuwa na uwanja mpana...
  6. maambati

    JamiiForums Tanzania Tushauriane vifurushi bomba vya internet

    kinapatikana kwa pesa ngapi mkuu
  7. maambati

    JamiiForums Tanzania Tushauriane vifurushi bomba vya internet

    kinacost pesa ngapi mkuu
  8. maambati

    JamiiForums Tanzania Tushauriane vifurushi bomba vya internet

    Hizi Gb's unazitumia ndani ya muda gani please
  9. maambati

    JamiiForums Tanzania Tushauriane vifurushi bomba vya internet

    60 Gb's Hiki kikoje mkuu na bei yake ikoje mimi natumia cha 10gb's elfu 35,000 kwa mwez speed iko powa sana - Halotel na Airtell ziko too slow nimeachana nazo
  10. maambati

    JamiiForums Tanzania Wanawake tu

    Ivi mjin maarage mnapika kwa nishati ipi
  11. maambati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ndo mwanamke romantic, tofauti na hapo dada unajidanganya

    nyie tangazeni hali ya hatar tu :)
  12. maambati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ndo mwanamke romantic, tofauti na hapo dada unajidanganya

    Tumefanyeje tena, wote ndio wapuuzi au baadhi tu hapa naona umejumuisha hata ambao hatuhahusika :) we wasamee tu
  13. maambati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ndo mwanamke romantic, tofauti na hapo dada unajidanganya

    hivi mbona kila mwanamke hum iko kama ashaumizwa tangazeni hali ya hatar tu sasa :)
Back
Top Bottom