Recent content by ma-effect

  1. ma-effect

    Whatsup Group

    Unaingilia uhuru wangu na ni siku ya uhuru?! [emoji848]
  2. ma-effect

    Crazy things you did in secondary school

    Nko form five, nikakutwa naoga nje ya bafu na kma dkk 5 zilizopita walipita wanafunzi waliokua wakivuta 'msuba' wakaninong'oneza nisiwataje. Akaja discipline master akanihoji ni kina nani walopita, nkajitetea kwa kudai nlkua na sabuni machoni hivyo sikuwaona. Ticha akaona isiwe tabu, akanipa...
  3. ma-effect

    JamiiForums Usiku wa manane

    Wajuba wametufungia baa 1251hrs
  4. ma-effect

    Ex wangu ananinyanyasa kisa kapata kazi

    Nenda bar mida hii, agiza bia za moto sita unywe na hivi kesho ni uhuruu [emoji4]
  5. ma-effect

    Whatsup Group

    Kunae mwanangu kila akiwa na jambo lake iwe nyama choma au kupata mchongo lazima aunde Whatsup group afu atuAdd. Tunae group kma nane [emoji23]
  6. ma-effect

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Hao "Watu wasiojulikana" ndo akina nani?!! Mi najua ndo walioBomb Imma Advocates, ndo waliomteka ROMA na ndo waliompiga risasi Mh. Tindu Lissu. Hao ndo watu wasiojulikana. Naomba kuwasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ma-effect

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Usiku wa leo kuamkia kesho roho zetu "ZITASUUZIKA" Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ma-effect

    Uke kutoa sauti (Kujamba) wakati wa kujamiiana

    Na kinachotoaga sauti ni "Mpumula" au "Mnduku"? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ma-effect

    Kuwa na porn videos kwene simu ni kosa kisheria?

    Heshima yenu wanajamvi... Naomba niulize.... Hivi kuwa na porn videos kwene simu ni kosa kisheria?!! Naombeni msaada. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ma-effect

    Je naweza kusoma postgraduate ya sheria wakati undergraduate sikusoma sheria?

    Ngoja na mm nisubirie jibu ase Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ma-effect

    Nataka kuja Dar es Salaam, wajuzi wa maeneo nisaidie

    Mzaliwa wa Ngara umekulia Rwanda. Pia una degree ya Procurement. Nahitaji mtu kma wewe. Ukija Dar nitafute. Na kama hutojali nitumie picha yako DM. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ma-effect

    Kumbe nchi hii kuna watu bado wanajilipa posho 400,000 kwa siku?

    Mange ni mwanamke. (Kwa walio nielewa wamenielewa) Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ma-effect

    Povu la Emmanuel Mbasha baada ya madam Flora kuzindua kitabu chenye jina 'Siri za Flora Mbasha'

    Sasa povu la Emmanuel Mbasha liko wapi hapo?! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. ma-effect

    Msaada; Rafiki yangu vidole vyake na mdomo havichezi na mishipa ya kichwa inamuuma

    Juzi jioni rafiki yangu alikunywa Konyagi. Kwa navyoujua unywaji wake, mi naona alikunywa kwa wastani. Tatizo limejitokeza jana. Vidole vyake vilinata vikawa havichezi, mkono nao ukawa umeganda, mdomo akawa hawezi kuachama, akawa analalamika kuwa mishipa ya kichwa inamuuma sana, akawa...
  15. ma-effect

    Wakimbizi 6,700 raia wa Burundi wajiandikisha kurejea makwao

    Ukiona ivo, jua ration ya chakula imepungua. Yaani hawashibi. Watajiandikisha wataenda then trust me watarudi wakisikia ration ya chakula imeongezeka. Hawa wenzetu bana...
Back
Top Bottom