Recent content by m_kishuri

  1. m_kishuri

    Kuhudhuria misiba kunavyowatia umasikini Watanzania

    Marehemu baba alipofariki, msiba wake ulihudhuriwa na watu wengi Sana. Hata kwenda makaburini, watu walilazimisha jeneza libebwe kwa mikono. That made me feel good. Kwamba mzee alikubalika ndani ya jamii. Funerals are traditional! Hata wanyama wanaombolezana. Unapohudhuria msiba wa ndugu au...
  2. m_kishuri

    Ramadhan Special Thread

    Ramadhan Kareem.
  3. m_kishuri

    Mtoto wa mmiliki wa Mabasi ya HBS Express ajiua kisa kupunjwa mali

    Kuna jamaa yake wakaribu amenitumia picha za tukio. Inatia huruma Sana.
  4. m_kishuri

    Mtoto wa mmiliki wa Mabasi ya HBS Express ajiua kisa kupunjwa mali

    RIP. Nadhani huyu ndio marehemu anaezungumziwa. Pole kwa wafiwa.
  5. m_kishuri

    Hivi mhaya halisia anatokea wapi mkoa wa Kagera?

    Marehemu Mwalimu J. K. Nyerere aliishaongelea hili suala la matabaka huko Bukoba
  6. m_kishuri

    Hivi mhaya halisia anatokea wapi mkoa wa Kagera?

    Hivi mhaya halisia anatokea wapi mkoa wa Kagera? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. m_kishuri

    Usain Bolt haamini macho yake baada ya kushindwa

    Mgema akisifiwa sana ndio matokeo yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. m_kishuri

    If you cheated, should you tell? Je, ukim-cheat utamwambia?

    Sent using Jamii Forums mobile app
  9. m_kishuri

    Jamani andikeni wosia mapema!

    Sent using Jamii Forums mobile app
  10. m_kishuri

    Tukumbushe wasanii,waigizaji,wachezaji waliofariki wakiwa katika kazi zao za sanaa

    Nadhani huyu ndie mchezaji wa kwanza kufariki uwanjani hapo Tanzania. Nadhani allikuwa mchezaji wa Simba, na alifariki kwenye mechi ya Simba na Yanga miaka ya 70. Nadhani jina lake likikuwa John Tindwa.
  11. m_kishuri

    Ramadhan Special Thread

    Yaani Maalim, mpaka vipele vya baridi vinatoka.
  12. m_kishuri

    Ramadhan Special Thread

    He is amazing.
Back
Top Bottom