Recent content by M18

  1. M

    Natafuta soko la mbegu za ubuyu

    Habari ndugu zangu, Natafuta soko la mbegu za ubuyu, kila baada ya cku 3 nakusanya gunia, hivyo wote wenye kazi nazo km kuchanganyia kwnye chakula cha kuku,nguruwe n.k. Naomba ni pm tuyajenge. Check picha ni baadhi ya mbegu zenyewe
  2. M

    Nijuzeni kuhusu katazo la Mifuko ya Plastiki

    Ahsante mkuu kwa maelezo
  3. M

    Nijuzeni kuhusu katazo la Mifuko ya Plastiki

    Habari? Kama heading inavyoonekana, Mimi ni mfanyabiashara wa Ice cream( Barafu) hizi za tsh 100, Swali ni kwamba hilo katazo la kutotumika mifuko ya plastic na hii pia inahusika? Ahsanteni na karibuni kunielewesha
  4. M

    Jirani yangu anatembea na mwanafunzi!

    Mkuu kadent kenyewe kazuri?
  5. M

    Msaada wa nauli: Nimeitwa kwenye usail Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB), Moshi-Kilimanjaro

    Mkuu mi naanza, nitakutumia elfu 5 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Bungeni: Mjadala wa azimio la kumpongeza Rais Magufuli ununuzi wa korosho wamuondoa Msigwa bungeni

    Kwl tunatofautiana akili, kodi zetu wanalipwa watu sitting allowance kwa Azimio la kumpongeza/kumsifia mtu? Hapa nakumbuka wimbo wa Dully ~ Mr misifa. Sitting allowance 200,000 x 235+ idadi ya wa bunge
  7. M

    Kanuni mpya ya mafao kwa wastaafu kupata 25% inayobaki 75 kuunganishwa katika pension ya mwezi

    Mkuu sorry ila itabidi uende ukapimwe akili aiseee kwa ku support ujinga huo, eti hakuna kupangiwa hela hzo hzo ni za kujengea nyumba, kwn ww unapangiwa matumizi? Nina wazi wazi ata huko kwenye familia yako
  8. M

    Sheria yetu ya madini na wabunge wasioelewa dhima yao

    Mkuu sawa unaruhusiwa ila lazma kule bungeni wabunge wanaulizwa je mnahafiki tuujadili?sasa shida kwa wabunge wafuata upepo a.k.a ndiyo mzee wanaweza kataa. Mfno mdgo hyo mikataba ya madini mingine ilipitiswa bunge la 1995- 2000 wapinzani wanapiga kelele bt wabunge wa ccm wanawazomea na...
  9. M

    INAUZWA Nina hama nauza vitu vifuatavyo

    Mkuu vp hauna fridge?
  10. M

    Je, Lowassa angeweza kusimama masaa 2 kujibu maswali?

    Kwn ww umefundishwa kujibu maswali ni lazma mtu asimame tu?
  11. M

    Lissu anyimwa Dhamana, kupelekwa mahakamani kesho

    Hahahahahaha kumbe hauna uhakika?!!!!! bac kaa kimya. Ushahidi kitu gani? mbna watu wanaushahidi na wamekutwa na hatia mwsho wa cku wemeishia kupiga deki wiki 1 na sasa kimya wanakula bata uswahilini tu
  12. M

    Spanish tiles Bei nafuu

    Boss nami nazihitaji naomba namba yko plse
  13. M

    Balozi wa China kuvaa gwanda za CCM sawa, ila balozi wa Norway kunywa chai na Seif NO

    Mi ccm nafikir wamerogwa cz wao mtu akiwambia ukwl shida, duuuuuuuuuuh
  14. M

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Tuhesabu sasa mawaziri waliyorudiwa kwnye sirikali hii kutoka ile ya mkwere
Back
Top Bottom