makamba ni mzembe! angalia twitter huko aliulizwa sjui mifuko gan akasema hiyo inaruhusiwa!Mifuko yote ya plastic kuanzia June 1 haitaruhusiwa maendeleo yanakuja na gharama zake ndio inavyokuwa cha msingi tusubili tuangalie mifuko mbadala itakuwaje inawezekana na ya ice cream itakuwepo hii inaenda sambamba na wa kandoro ambao hofu yangu wanaweza kutumia chupa za maji zilizotumika wasi wasi wangu ni katika afya
Kwanza hongera kwa kuwa mfanyabiashara, pili pole kwa kwa yaliyo/yatakayo kukuta.
Ndio hiyo mifuko ni Plastiki pia hivyo inaguswa moja kwa moja na katazo hilo.
Je uache biashara au utafute njia mbadara?
Naona utafute njia mbadara, na njia hii nikuanza utuamiaje wa Coated Layers kwa ajiri ya kufungasha prodakti zako.
Coated Layer (Ni kipande au tabaka la juu au chini kwa kuweka au hifadhi Barafu, Milkshake, Ice Creams nk.) Kama umewahi kutumia Ice Creams kuna kipande cha chini hutumika kwa kushikia pia huliwa na asili yake ni crunch/crispy 'Kuokwa fulani hivi'.
Kondom ina oza wanaweza kutumia material yaliyo tengeneza kondom lakini mi nina amini technology ni kubwa sana lazima mifuko mbadala na bora itakuwepomakamba ni mzembe! angalia twitter huko aliulizwa sjui mifuko gan akasema hiyo inaruhusiwa!
mie.nasubiri kuona muhimbili pale wakitumia makaratasi kubebea sindano na matakataka.mengine ya operation badala ya mifuko!
makamba anaendesha wizara kwa kutumia twitter
Oh sawa Asante pia kwa kunisahihisha, sikujuwa hilo.Ushukuriwe kwa maelezo ya kina, nitaomba unikosoe kama nilichokisia nimekielewa vibaya. Nilikisikia ni kwamba mifuko ya plastic (vibebeo) ndiyo ambayo haitaruhusiwa kuanzia 1 June 2019 lakini vifungashio kama vya madawa, chakula, sabuni vitaendelea kutumika kwa muda.
Kwanza hongera kwa kuwa mfanyabiashara, pili pole kwa kwa yaliyo/yatakayo kukuta.
Ndio hiyo mifuko ni Plastiki pia hivyo inaguswa moja kwa moja na katazo hilo.
Je uache biashara au utafute njia mbadara?
Naona utafute njia mbadara, na njia hii nikuanza utuamiaje wa Coated Layers kwa ajiri ya kufungasha prodakti zako.
Coated Layer (Ni kipande au tabaka la juu au chini kwa kuweka au hifadhi Barafu, Milkshake, Ice Creams nk.) Kama umewahi kutumia Ice Creams kuna kipande cha chini hutumika kwa kushikia pia huliwa na asili yake ni crunch/crispy 'Kuokwa fulani hivi'.
Ndio unaguswa moja kwa moja na tangazo hiloHabari?
Kama heading inavyoonekana, Mimi ni mfanyabiashara wa Ice cream( Barafu) hizi za tsh 100, Swali ni kwamba hilo katazo la kutotumika mifuko ya plastic na hii pia inahusika?
Ahsanteni na karibuni kunielewesha
Vifungashio vyake si mpira.Hayo madrip huko mahospitalini nayo vp?