Natafuta soko la mbegu za ubuyu

M18

Member
Jan 3, 2015
76
28
Habari ndugu zangu,
Natafuta soko la mbegu za ubuyu, kila baada ya cku 3 nakusanya gunia, hivyo wote wenye kazi nazo km kuchanganyia kwnye chakula cha kuku,nguruwe n.k.
Naomba ni pm tuyajenge.
Check picha ni baadhi ya mbegu zenyewe
IMG_20190803_145621_7.jpeg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom