Ongozaneni wewe, Mtikila, CCM, nyooote mkanzishe valangati Butiama angalau muwasaidie waZanzibari katika harakati hizi. Nendeni kule na machepeo/mapauro yenu na toeni kipindi cha wiki moja tu, msipopata Tanganyika yenu fukueni kaburi!!!, na anayekuja kukusimamisheni piganane nae. Kinyume na...