luhala
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 412
- 142
Inasikitisha sana kuona washenzi flani wakiwachokoza waisraeli kwa kuwavalisha mabomu wajinga flani wanaokwenda jilipua ndani ya Israeli na kuwauwa watu wasio na hatia, baadae waliopanga uharamia huu kukimbilia kujificha kwenye makazi ya watoto, walemavu na hata wazee! Matokeo ni kama tunayoonyeshwa kwenye picha, yaani kulipuliwa kwa magaidi na raia wasio hatia!
Sasa washenzi hawa wamezifanya picha hizi kuwa "dili" kwao kuzitangaza kila mahali kusaka huuma za zumbukuku wenzao!
Last edited by a moderator: