Ni mauwaji ya kutisha huko Misri

Ni mauwaji ya kutisha huko Misri

Sasa sisi inatuhusu nini?
Duh wewe nawe wa ajabu kweli.Ila ingekuwa kule lwa Obama au China wanaoleta misaada mnaiba na wana sisiemu wenzako ingekuhusu.Wanapokufa bibadamu wenzako umeckia wengi ni wanawake na watoto wewe roho haikuumi?Duh wang`oa kucha bwana.Kama huna busara ktk jambo la huzuni na kusikitisha ni bora ukae kimya?
 
kweli inasikitisha tena sana , kizuri nchi yetu ni kisiwa cha amani si ndiyo jamani.
 
Niliwaambia hapa majuzi inahitaji muda tu kuiona misri ikifuata nyayo za Syria,mashariki ya Kati sasa italipuka yote,na mtu anaekuja kuathirika zaidi ni babu yangu alie geita huko maana bei ya mafuta itapanda vibaya mgogoro mpya wa kiuchumi duniani unanukia,nashangaa kuna watu walikuwa wakishangilia mapinduzi ya kijeshi hapa
Eh huyu nae hapo bei ya mafuta inahusikaje .Katika hayo mataifa uloyataja ni lipi linazalisha mafuta au lipo juu kiuchumi linatoa misaada kwa mataifa mengine ivyo yataathirika kwa kukosa misaada iyo wanayonunulia mafuta?HApo cha kushangilia ni kuanguka kwa dikteta muuaji na mbaguzi wa kidini ila vifo ndo tunasikitika.Au wewe unaogopa ilo vugu vugu litakuja kuondoa ukoo wa kifalme unaoshadadia kila cku huku JF?FREEDOM IS COMMING TOMMORROW
 
Jeshi limeanza kukosea na lishapoteza uhalali wa kuendelea kutawala, huwezi kuua raia wako alafu uwatawale
 
Jeshi la Misri linazuia habari nyingi kutoka lakini waliopo Misri wanatonya kuwa hali ni mbaya zaidi ya wengi wanavyofikiria.
 
akili umepeleka likizo Arifu? waliokufa ni binadamu wenzako, huna ulichojifunza hapo?
Mkuu nakubaliana na wewe lakini nimeuliza sisi kama Tanzania yanatuhusu nini? ukumbuke hao wote ni ndugu na sisi hatuna uwezo au sauti yeyote ya kuzuia yanayotokea Egypt.

Ngoja nikuulize swali, MAUAJI YANAENDELEA CONGO kila siku je umewahi kusikia watu wa Egypt wakalalamika? yale ya Rwanda? Kuna mambo mengine unaangalia kama hata huyo anayeathirika kama anakujali. Unajua hao wa Egypt walitaka kutupiga vita kama tukitumia maji ya lake victoria?
 
Yaani hao 40 wa misri ndio mmewaona,je wale 100,000 kule syria nani amesema??????????

Kwa hiyo kwa pamoja idadi inakuwa ni 100,040 (laki moja na arubaini) waislamu waliouliwa na maadui wa uislamu, iwe Egypt au Syria. Hapa bado hatujasema sehemu nyengine.
 
Eh huyu nae hapo bei ya mafuta inahusikaje .Katika hayo mataifa uloyataja ni lipi linazalisha mafuta au lipo juu kiuchumi linatoa misaada kwa mataifa mengine ivyo yataathirika kwa kukosa misaada iyo wanayonunulia mafuta?HApo cha kushangilia ni kuanguka kwa dikteta muuaji na mbaguzi wa kidini ila vifo ndo tunasikitika.Au wewe unaogopa ilo vugu vugu litakuja kuondoa ukoo wa kifalme unaoshadadia kila cku huku JF?FREEDOM IS COMMING TOMMORROW

Siku 1 utanielewa namaanisha kitu gani,kwa sasa huwezi kunielewa kwa sababu akili yako imekaa kwenye bracket,
 
Mkuu nakubaliana na wewe lakini nimeuliza sisi kama Tanzania yanatuhusu nini? ukumbuke hao wote ni ndugu na sisi hatuna uwezo au sauti yeyote ya kuzuia yanayotokea Egypt.

Ngoja nikuulize swali, MAUAJI YANAENDELEA CONGO kila siku je umewahi kusikia watu wa Egypt wakalalamika? yale ya Rwanda? Kuna mambo mengine unaangalia kama hata huyo anayeathirika kama anakujali. Unajua hao wa Egypt walitaka kutupiga vita kama tukitumia maji ya lake victoria?

Umetoa Point zake kwa Mrengo wa Kibaguzi, ina maana siku ukiambiwa watu wa Mkoa mwingine wanauana wenyewe kwa wenyewe na wewe siyo mtu wa Mkoa huo basi haikuhusu? Kule Misri kuna uwezekano wa kuwepo Watanzania wenzetu, utasemaje haikuhusu?

Wakati mwingine watu wanachotaka kutoka kwetu ni kuomboleza pamoja nao...
 
Inasikitisha sana yaani watu wanauliwa kama kuku... Sasa hawa ndiyo wanasema wanatetea wananchi? Mungu ibariki afrika
 
Umetoa Point zake kwa Mrengo wa Kibaguzi, ina maana siku ukiambiwa watu wa Mkoa mwingine wanauana wenyewe kwa wenyewe na wewe siyo mtu wa Mkoa huo basi haikuhusu? Kule Misri kuna uwezekano wa kuwepo Watanzania wenzetu, utasemaje haikuhusu?

Wakati mwingine watu wanachotaka kutoka kwetu ni kuomboleza pamoja nao...
Kwa hiyo na akili zako unazani siku ukiwa na matatizo hao watu watakuonea huruma au hata kujali?
 
ukiona mwenzio ananyolewa..................poleni sana wahanga
 
Back
Top Bottom