Recent content by M.G.

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bandari Dar kupokea na kufungua gati namba tatu baada ya siku 10 kuanzia sasa

    Hapa duniani hapatatokea Rais hata mmoja atakaye tenda mazuri pekee.JPM anajitahidi kutuwekea misingi ya maendeleo kama Taifa.Mtu Mwenye kuzingatia sheria na kufanya kazi kwa bidii atanufaika sana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lugalo kusafisha figo kwa bei nafuu

    Taifa linasonga mbele.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bandari Dar kupokea na kufungua gati namba tatu baada ya siku 10 kuanzia sasa

    Wakiona taarifa kama hizi wanakunja mikia hadi unawaonea huruma.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bandari Dar kupokea na kufungua gati namba tatu baada ya siku 10 kuanzia sasa

    Hizi ndio kazi za serikali,sio maneno na porojo.Hongera JPM.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kituo cha sheria na haki za binadamu chafufua mjadala wa Katiba Mpya

    Mkuu watu wengi wanaongea kwa mihemko,hawajui mambo mengi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa Atoshaa: Wajumbe wa NEC YA CCM Wanena

    Lowassa ni kiongozi atakayetusaidia sana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Nyerere ndio BABA wa taifa hili.Hatatokea mwingine.Watakuja marais wengine watapita na tutawasahau.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Eti wanaume wa kabila gani wamejaaliwa neema za mwenyezi mungu?

    Pole sana.Nitafute.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jenista Muhagama; Uchaguzi chuo kikuu Mzumbe haukuhusu

    Ana GPA gani?Katiba inasemaje kuhusu GPA inayotakiwa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji na kilimo unalipa sana

    Mkuu ninashukuru kwa kunihamasisha.Kuna eneo umepiga kwenye plan zangu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya katika rasimu ya II ya katiba mpya!

    Hilo linasubiri katiba ya Tanganyika yetu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siangalii mwanamke mara mbili.

    Hahaha.Ni kazi ya mikono yake.Tupia macho.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Siangalii mwanamke mara mbili.

    Nadhani ukiangalia na baada ya kuangalia ukashinda vishawishi unakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pole January Makamba

    Jamani IKULU kuna nini?
Back
Top Bottom