Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,822
- 3,832
Kule dunia kabla mchezaji ajapewa mkataba kwenye team anayotaka kuamia, ni sharti kwanza afuzu vipimo vya afya. Ningefurahi sana kama hiyo system ingekuwa applied kwenye mfumo wetu wa kumpata raisi.