Recent content by lyungama

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

    Ni vyema kusoma bila kutoa maoni kwani lazima kula mihogo na chachandu mambo yarndelee
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi -Kitabu kilichojaa majina yote

    [emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
  3. L

    JamiiForums Tanzania Stem cells!

    Where can I get this medicine
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi -Kitabu kilichojaa majina yote

    [emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi -2 Hours of Memories (Espionage and Science)

    Arostoooo
  6. L

    JamiiForums Tanzania Suluhisho kwa magonjwa zaidi ya 100 yanayowasumbua wanadamu must read

    Mbona uko kimya mleta dawa
  7. L

    JamiiForums Tanzania Suluhisho kwa magonjwa zaidi ya 100 yanayowasumbua wanadamu must read

    Mimi nasumbuliwa na vidonda vya cansa nitumie dawa gani kati ya hizi
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Dunia ndani ya dunia mpya

    Bomba [emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516]
  9. L

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kuhubiri injili kwenye magari ya abiria ni kero kubwa, LATRA muingilie kati

    Wahubiri wanasaidia kuombea safari tunasafiri salama warndelee na kazi ya Mungu
  10. L

    JamiiForums Tanzania Najikaribisha na pia nakaribisha marafiki

    Wasubiri kidogo wanakuja
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu aliwaza nini mpaka akaamua kututupia Ibilisi duniani!

    Napenda mniambie je adamu angekataa kula lile tunda la mti wa uzima kungetokea nini. Wakati Eva alikuwa amekula na akajitambua yuko uchi.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais Samia akisema Mzozo wa Urusi na Ukraine utaathiri Uchumi, Rais Dk. Mwinyi asema usitumike Kisingizio cha Kupandisha Bei na Kuathiri Uchumi

    Mama anaongoza vyema na mzee Yusuph Makamba amesema amekuja kutubatiza kwa maji ndiye mama Samia
  13. L

    JamiiForums Tanzania Battle: Magufulians vs Anti-Magufuli

    Magufuli was the best EVER president R. I P . Upembuzi wa Kadogosa unaonesha mzee JPM alikuwa mfanyakazi c mwanasiasa wa porojo za majukwaa anayetaka haki za mashoga na haki za wafungwa waitwe wanafunzi
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sijakuelewa hapa unapotaka Kushauri na Kuamrisha kuwa Jina la Wafungwa libadilishwe na sasa wawe wanaitwa Wanafunzi

    Jamani mama anafungua mipaka ya nchi na misamiati mingi inafunguliwa yaani tutaona mengi sana
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wamachinga wauza Juice Karume Ilala

    Mzee kumbe unamjua huyu mshikaji [emoji1787][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787].Siku hizi yupo pale mwanzoni ukiwa unatoka karume kuelekea Kkoo kabla hujapanda kibaraza cha breweries(Pale ambapo huwa kuna mnada wa nguo). Jamaa ndio michezo yake.Charming sana,mtu wa story sana.Ila...
Back
Top Bottom