Recent content by Lyimo

  1. Lyimo

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Ni sahihi pia kutumia mtama mweupe na hata uwele, kwani jamii zote hizi kuwa zinauwezo wa kukusanya virutubisho vingi vinavyohitajika kwa wanyama katika hatua za awali za ukuaji wa mimea hii.
  2. Lyimo

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Licha tu ya kupunguza gharama ya ufugaji, sababu chakula kinagharimu sana katika ufugaji wa wanyama tunaofugia ndani. Ila faida kubwa zaidi ni katika upatikanaji wa viinilishe vyote muhimu, ambavyo vitawezesha mnyama kuwa na afya bora pamoja na kukua vizuri. Na zaidi, mazao yote yatokanayo na...
  3. Lyimo

    Vibanda vya Machinga Complex vyabomolewa, Machinga wahaha

    Watanzania tumekuwa tukisingizia sana vyama hata kwenye jambo lililo wazi katika kuvuruga taratibu. Kwanza vile vibanda havikuwepo kwenye plan, na vilikuwa kero sana hata kama walikuwa wanalipa kodi.
  4. Lyimo

    Namsikitikia Prof. Kitila Mkumbo wa ACT-Wazalendo

    Hapa hata ile principle ya UKAWA is no longer valid. Hapa ni chama kusimama chenyewe.
  5. Lyimo

    Paul Makonda kidedea TAHLISO awabwaga marais UDSM, UDOM.....

    Kumbe huyu jamaa siyo wa kumbeza. Kama alishinda kwenye siasa za vyuo vikuu, basi atakuwa na hidden power in leadership in which can not be underestimated. Siasa za vyuoni huwa ni complex sana kutokana na uelewa mkubwa wa population yenyewe.
  6. Lyimo

    Bugatti Chiron 1500 HP, Max speed 500 km/h!

    Germany wana barabara nzuri sana hasa zinazounganisha miji zinaitwa autobahn. Huwa hakuna speed limit. Many tourist comes with their speedy fancy car to drive on this road. Hivyo zipo barabara za kuendesha hiyo imaginary speed....
  7. Lyimo

    Usahihi wa Rais Magufuli upo wapi? Nimeshindwa kueleweka, lakini nitaeleweka tu!

    Hii itapelekea wasanii wengi kukurupuka na nyimbo kama hizi ili Rais akitoa maamuzi kama haya yawatafutie kiki. Nimegundua itachukua muda mrefu sana kwa watanzania kumuelewa Rais wetu. Mungu ibariki Tanzania
  8. Lyimo

    Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    It was given huyu msanii angekamatwa
  9. Lyimo

    Spika Job Ndugai kuzungumza na Waandishi Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kesho 26.03.2017

    Hawa watu wanataka tusiende misa Ufufuo na Uzima, kwa kuhamisha masikio yetu Airport.
  10. Lyimo

    Social medias are there to stay

    Namsifu huyu cartoonist anaitwa Masoud Kipanya. His creativity is awesome. Kwakweli anaitendea haki taaluma yake.
  11. Lyimo

    Magufuli na Makonda watawaweza 'watoto wa mjini'?

    Hii vita naanza kuhisi watapoteza wote.
  12. Lyimo

    Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Kweli yeye ni zaidi ya Rais katika madhabahu/familia yake, kama wewe ulivyo zaidi kwa mkeo/mmeo.
  13. Lyimo

    Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

    Looks so innocent. Ila atakuwa amesaidia kumaliza utata wa vyeti uliotufikisha katika sintofagamu hii...
Back
Top Bottom