Social medias are there to stay

Social medias are there to stay

Social medias are there to stay
Halafu tunamcheka DAB, ni kweli DAB alichemka kununua vyeti, lakini we've got a bunch of DABs in the country.
 
As long as binadamu watakuwepo basi hata mitandao ya kijamii itakuwepo mimi naandika leo hapa wewe unaandika yule anaandika walishaandika wengine kitambo, Leo hawapo tena, nasi kuna siku tutatoweka lakini social media zitakuwepo as long as kuna watu watakuwepo
Ichukie ipende ikejeli ama isifu haitokaa ife, na hata Kama kuna baadhi itafungiwa ama kufishwa bado itaibuka mingine yenye maudhui yale yale

Social medias ni kama maji usipoyanywa utayapikia usipoyapikia uatogea usipoyaogea utayatumia kwa matumizi mengi tu, HUWEZI KUYAKWEPA MAJI HUWEZI KUIKWEPA MITANDAO HURU YA KIJAMII

ukiwa mweledi ukiwa na tafakuri ukiwa na dira ukiwa na mikakati bora, ukiwa na mgawanyo wa madaraka kwa usawa, ukihukumu kwa haki na kutenda kwa akili social medias ni kioo kizuri kwako kukuongoza kule utakakokenguka na sometimes hata kuteleza

Lakini ukiwa kiburi na kushupaza shingo, ukiwa katili na mkorofi, ukileta one man show na mambo yote yanayoichukiza jamiii.. My friend jiandae your days are numbered.....

Utachachuka mdomo na kukunja ndita mwisho utaishia kwenye anguko juu huku ukiziacha social media zikipeta... Ukigombana na social medias umegombana na jamii umegombana na wapiga kura wako.... Kumbuka hakuna popote duniani mmoja alishinda wengi
hahahah mshana bana unanikumbusha vile viatu vilivokua vinaitwa MKUKI MOYONI sasa nimeshindwa kufananisha maana hili ni lakumoyo hahahahahahahaha
 
ujumbe umfikie coz ajifanya oooh vijipost vyenu kwenye mitandao,cjui udaku ili hali ni mdau mzr wa hiyo mitandao,asituchoshe Tanzania ni zaidi ya vitisho vyake ubabe peleka usukumani huko
 
Ari Mpya Kasi Mpya.jpg
 
As long as binadamu watakuwepo basi hata mitandao ya kijamii itakuwepo mimi naandika leo hapa wewe unaandika yule anaandika walishaandika wengine kitambo, Leo hawapo tena, nasi kuna siku tutatoweka lakini social media zitakuwepo as long as kuna watu watakuwepo
Ichukie ipende ikejeli ama isifu haitokaa ife, na hata Kama kuna baadhi itafungiwa ama kufishwa bado itaibuka mingine yenye maudhui yale yale

Social medias ni kama maji usipoyanywa utayapikia usipoyapikia uatogea usipoyaogea utayatumia kwa matumizi mengi tu, HUWEZI KUYAKWEPA MAJI HUWEZI KUIKWEPA MITANDAO HURU YA KIJAMII

ukiwa mweledi ukiwa na tafakuri ukiwa na dira ukiwa na mikakati bora, ukiwa na mgawanyo wa madaraka kwa usawa, ukihukumu kwa haki na kutenda kwa akili social medias ni kioo kizuri kwako kukuongoza kule utakakokenguka na sometimes hata kuteleza

Lakini ukiwa kiburi na kushupaza shingo, ukiwa katili na mkorofi, ukileta one man show na mambo yote yanayoichukiza jamiii.. My friend jiandae your days are numbered.....

Utachachuka mdomo na kukunja ndita mwisho utaishia kwenye anguko juu huku ukiziacha social media zikipeta... Ukigombana na social medias umegombana na jamii umegombana na wapiga kura wako.... Kumbuka hakuna popote duniani mmoja alishinda wengi
Nachoamini mimi hakuna aliyepigana na muda akashinda,

Huwezi yakwepa mabadiliko ta viumbe au vitu utakuwa unaenda kinyume na mapenzi ya Muumba wako,
Tujikumbushe tuu pamoja na jabari kuwa gumu kiasi gani lakini kuna muda unafika baadhi ya mimea huota na mingine kukua kabisaa.
Sasa hii mitandao ni kama hiyo mimea itakua tuu kwenye huu uso wa ardhi ya mbabadu.

Nachoamini mimi huwezi shondana na mabadiliko husika kwa muda muafaka,
 
As long as binadamu watakuwepo basi hata mitandao ya kijamii itakuwepo mimi naandika leo hapa wewe unaandika yule anaandika walishaandika wengine kitambo, Leo hawapo tena, nasi kuna siku tutatoweka lakini social media zitakuwepo as long as kuna watu watakuwepo
Ichukie ipende ikejeli ama isifu haitokaa ife, na hata Kama kuna baadhi itafungiwa ama kufishwa bado itaibuka mingine yenye maudhui yale yale

Social medias ni kama maji usipoyanywa utayapikia usipoyapikia uatogea usipoyaogea utayatumia kwa matumizi mengi tu, HUWEZI KUYAKWEPA MAJI HUWEZI KUIKWEPA MITANDAO HURU YA KIJAMII

ukiwa mweledi ukiwa na tafakuri ukiwa na dira ukiwa na mikakati bora, ukiwa na mgawanyo wa madaraka kwa usawa, ukihukumu kwa haki na kutenda kwa akili social medias ni kioo kizuri kwako kukuongoza kule utakakokenguka na sometimes hata kuteleza

Lakini ukiwa kiburi na kushupaza shingo, ukiwa katili na mkorofi, ukileta one man show na mambo yote yanayoichukiza jamiii.. My friend jiandae your days are numbered.....

Utachachuka mdomo na kukunja ndita mwisho utaishia kwenye anguko juu huku ukiziacha social media zikipeta... Ukigombana na social medias umegombana na jamii umegombana na wapiga kura wako.... Kumbuka hakuna popote duniani mmoja alishinda wengi
Umeongea kwel kabisa braza mshana
 
Nimeona tweet ya Makamba jr, role ya mitandao ya kijamii hasa kwenye propaganda ilisaidia sana kukipa ccm uhai mpya
Vema tusiwe watu wa kulewa kilevi cha madaraka na kuwa wepesi mno kusahau
Usiuchukie moto kwakuwa tu eti umekuunguza wakati huko nyuma ulikusaudia mno kwenye kutengeneza shibe yako
 
ujumbe umfikie coz ajifanya oooh vijipost vyenu kwenye mitandao,cjui udaku ili hali ni mdau mzr wa hiyo mitandao,asituchoshe Tanzania ni zaidi ya vitisho vyake ubabe peleka usukumani huko
Id yako ya kila siku umeipumzisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom