Paul Makonda kidedea TAHLISO awabwaga marais UDSM, UDOM.....

Acheni mzaha na taifa hili.

Lini Makonda aliwahi kupigiwa kura na wananchi akashinda?

Kweli uko serious unataka Makonda awe Rais wako?

Hivi vyeo vya kupewa kama fadhila baada ya kulamba viatu vya wanasiasa fulani na kufanikisha malengo yao visiwafanye mvimbe vichwa!
Kwa hiyo RC DSM aliwahi kuwa CCJ?
 
Paul Makonda ambeye ni waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi wa MUCCOBS amewaragaraza marais zaidi ya sita kutoka katika vyuo vya elimu ya juu hapa Tanzania katika kinyang'anyiro cha kugombea uraisi wa TAHLISO. Paulo Makonda ambaye pia ni kada maakini wa CCM ameudhibitishia umma kwamba yeye ni kiongozi anayekubalikana ana mvuto kwa watanzania ndani ya ulingo wa siasa na nje pia. Nani kama MAKONDA???
Rest in Peace WILSON
 
Yametimia
c016bfbc8121c2de48a3ce7b206c16cf.jpg
87a263df196aceb16d337a83b3e8ab57.jpg
47b359a18e928c75f691285711ee4040.jpg
 
Kumbe huyu jamaa siyo wa kumbeza. Kama alishinda kwenye siasa za vyuo vikuu, basi atakuwa na hidden power in leadership in which can not be underestimated. Siasa za vyuoni huwa ni complex sana kutokana na uelewa mkubwa wa population yenyewe.
 
TAHILISO, namshukuru Mungu sina connection tena na hii taasisi, i graduate a year back,
PAUL MAKONDA mwanzilishi wa CCJ leo amehamia tahiliso, duhhhhhhh yaan huyu jamaa ni kilaza cjapata ona halafu lazma ana watu wanamback coz hapo MUCCoBS jamaa kashadisco saaaaaaaaana tu halafu still anasoma I DON GET THE POINT HERE, kuna ile sheria ya kwamba mtu aki disco anatakiwa ake/ ajiulize for atleast muda kidogo mdo aapply tena chuo,
MASKINI TANZANIA NA CCM YENU, MWISHO WA YOTE HUYU JAMAA ANAKUJA KUA KIONGOZI WA SERIKALI SA TUTAKUA NA NCHI AU KICHAKA CHA VILAZA HAPA.
am out

Bashiteeeeeeeeee
 
Japo comment ni ya muda mrefu lkn mkuu uliona mbali kimtazamo
 
Back
Top Bottom