Recent content by lyena_

  1. L

    Taarifa ya CHADEMA kuhusu kesi ya Leticia Nyerere

    Mkuu kuwa mtoto wa kiongozi siyo hoja inabidi utumie na zako. Hawa wakina Nyerere ni wabunge machachari na wana hoja zenye mvuto.Kwa hiyo hata watoto wa wakubwa huingia kwenye mchujo kama ilivyokuwa kwako.
  2. L

    Taarifa ya CHADEMA kuhusu kesi ya Leticia Nyerere

    Ulitaka familia ya Nyerere wasishiriki kwenye siasa au inakuuma kwa sababu wako Chadema.Leticia na Vicent ni wabunge wenye umakini mkubwa bahati mbaya ccm imewakosa na imebaki kuwamezea mate.
  3. L

    Mbunge ashitaki/aripoti wana/mwana Jamiiforums ...

    aise wabongo mna kazi kweli kweli. wivu umetawala kupita kiasi.
  4. L

    Mbunge ashitaki/aripoti wana/mwana Jamiiforums ...

    Ngoja tukueleweshe, hizo traffic citations siyo case kama mnavyotaka ieleweke. Kama unaendesha gari marekani huwezi kuzikwepa angalau utapata parking ticket. Tanzania hatuna traffic tickets kwa hiyo si rahisi kuelewa.Ombeni msaidiwe na wabongo waishio USA kabla ya kung'ang'ania mambo...
  5. L

    Taarifa ya CHADEMA kuhusu kesi ya Leticia Nyerere

    Maskini kumbe ni wivu wa jina unakusumbua,pole sana.Nitaongea na Andrew akuoe ili nawe uitwe mama Nyerere maana ndiye ambaye hajaona katika watoto wa mwalimu.Kumbe tatizo siyo Leticia bali jina linakuuma. Maskini wa Mungu ndiyo maana una roho mbaya maana hujidhamini wewe mwenyewe badala yake...
  6. L

    Taarifa ya CHADEMA kuhusu kesi ya Leticia Nyerere

    Traffic citation siyo kesi hizo acha ushamba .Mtu aliyeendesha gari Marekani anaweza kupata parking ticket hata Obama anazo. Wewe mshamba sana na itakuwa vigumu sana kwako kuelewa.Leticia hana uraia wa nchi mbili acha uzushi wa kiswahili.Leticia haishi Marekani isipokuwa aliwahi kuishi huko...
  7. L

    Taarifa ya CHADEMA kuhusu kesi ya Leticia Nyerere

    olewa na wewe kwa baba wa taifa ili upate hilo jina badala ya kumwonea wivu leticia.poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
  8. L

    Taarifa ya CHADEMA kuhusu kesi ya Leticia Nyerere

    Unaonaje wewe uchukue jina lake ili roho yako iridhike. Jamani mbona unashangaza kumbe hata majina yanaonewa wivu.Mwambie madaraka, Makongoro, John,Magige au Andrew akuoe wewe ili uitwe Mama Nyerere.Pengine tatizo lako ni wivu ,pole sana kumbe unatamani nawe uwe mkwe wa baba wa Taifa.Bahati...
  9. L

    Mbunge ashitaki/aripoti wana/mwana Jamiiforums ...

    Safari hii wabongo wamepatikana.Kumbe mnafurahia kumchafua mtu na kutunga mambo ya kumchafua mtu. Leticia alipotoa taarifa taasisi husika Marekani, basi mnahaha.Leticia siyo Rwakakare yeye ni yeye na ana misimamo yake.
  10. L

    Mbunge ashitaki/aripoti wana/mwana Jamiiforums ...

    Kwa hiyo huo ndio ushahidi wa kile mlichokuwa mmebandika jamvini.Nyinyi watanzania msiokuwa na uelewa hii scam inachunguzwa na taasisi husika hapa Marekani wala hatujui outcome yake itakuwaje. Wanatafutwa walioanzisha hiyo scam ambayo pia iliwataka watu waweke pesa kwenye account kwa nia ya...
  11. L

    Mbunge ashitaki/aripoti wana/mwana Jamiiforums ...

    mzurimie unajua wabongo huchukulia vitu rahisi rahisi na ndiyo maana mnapublish mambo bila ushahidi matokeo yake mnaishia kusaidia kwenye investigation bila kujua.Computer crime inaweza ikachunguzwa kutokea popote pale duniani. Jamani muwe mnajisomea.Mfano unavyojiaminisha kuwa huyo mama ana...
  12. L

    Mbunge ashitaki/aripoti wana/mwana Jamiiforums ...

    Ribosome Pengine huelewi kingereza.Mwambie mtu anayejua kiingereza akufanyie tafsiri maana press release iliyotolewa imefafanua kila kitu. Pengine hawezi kwenda deep zaidi kwa kuwa swala liko chini ya upelelezi. Si unajua tena Marekani huwezi ukapublish tangazo la uongo kusingizia law...
  13. L

    Mbunge ashitaki/aripoti wana/mwana Jamiiforums ...

    Ulitaka ufafanuzi gani zaidi ya hiyo statement?
  14. L

    CV ya William Lukuvi

    Naomba maelezo kutoka kwa Mh Lukuvi. Hiyo Diploma ya kusoma mwaka mmoja au miwili aliisomea chuo gani Urusi.Huwezi kupata Diploma nchini Urusi kwa chini ya miaka minne. Vile vile BA aliyoipata USA aliipata kutoka Chuo anachodai kinaitwa Washington International University.Je, chuo hiki kiko mtaa...
  15. L

    PENDEKEZO: Freeman Mbowe apewe heshima ya uongozi bora

    Wote Mbowe na Dr Slaa wanastahili sifa.
Back
Top Bottom