Recent content by Lyambaa

  1. L

    Suala la hela za Uswisi linapotoshwa – siyo tena suala la akaunti za kifisadi za vigogo huko Uswisi

    Watanzania wanajulikana kwa madhaifu yao. Waondoe taratibu kwenye uelekeo na watakufuata, baadaye hata wasijue nini walikuwa wanahitaji. Ni kweli usemayo. Wapi upinzani dhidi ya malipo kwa Dowans? Richmond ilisemwa ni batili. Hivyo basi warithi wote wa richmond wamerithi kitu batili. Na malipo...
  2. L

    Majibu ya Reginald Mengi juu ya Gesi kwa Profesa Muhongo

    Huko nyuma kuna mkataba kuhusu madini ulisainiwa huko London, ili uwahi kabla ya sheria mpya ya madini kupitishwa.Huo mkataba ulikuwa unahusu mgodi wa Kahama. Kila mfuatiliaji wa masuala haya anajua kilichofuatia, na yupi anafaidi matokeo ya ule mkataba. Tuliambiwa kuwa makosa hayo ya mikataba...
  3. L

    Tanzania excluded from EAC joint communique

    Something is very wrong somewhere within our country. What is it? Lack of Strong leadership? Plan? Decisions? Lack of prioritizing our economy interest within the community? What do Uganda, Kenya and Rwanda want most from Tanzania within the frame of EAC co-operation? Land? Do our political...
  4. L

    Kikwete na marais wastaafu katika futari ya pamoja

    " Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjmani William Mkapa na Rais wa Awamu ya nne Alhaj Ali Hassan Mwinyi wakati wa futari iliyoandaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa pili kushoto) nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam Jumapili"...
  5. L

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    Ndugu zangu Watanzania. Poleni. Tumetoka kwenye mada. Ishu kuu hapa ni jinsi baadhi ya viongozi waliofilisika kimwazo wanavyotumia udhaifu wetu wa dini na ukabila kutugawa kwa masilahi yao. Kiuchumi na kisiasa. Dawa ni kuwakatilia. Si vizuri na sisi wanyonge kuingia mtego huo huo. Libya...
  6. L

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    A rare mind revelation from the Civic United Front By Editor 19th February 2012 Editorial Cartoon Interviewed by Mlimani TV station early this week about why his party recorded abysmal performance in the just ended by-election in Uzini constituency on Zanzibar island, Ismail Jussa...
  7. L

    Kiongozi anyanyaswa na wafanyakazi wa mwekezaji

    Siku hizi, kuwa mtumwa sio lazima upelekwe amerika au uarabuni kama walivyofanyiwa babu zetu. Wao walibebwa kwa nguvu, na wengi wao walikufa kwa kukataa kuwa watumwa.Walikuwa wanakataa na kupigania uhuru na utu wao kama binadamu.Leo hii watanzania kwa hiari yetu wenyewe, huku tukijiita eti...
  8. L

    Uchakachuaji Mafuta Unatumaliza Na Serikali Haifanyi Kitu

    Suala la kuchakachua mafuta ni baya sana, tena ni uuwaji. Ni simu inayotuua kwa kufanya kazi taratibu. Kwanza mafuta bei juu. Halafu yamechakachuliwa. Hii maana yake inaua magari. Sina haja kuelezea athari zake kiuchumi kwa mtu na taifa. Serikali imebaki kushangaa tu na kusema wahusika watafutwe...
  9. L

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Wewe unaelewa unajibu kuhusu nini? Watu wanaenda kupata matibabu kwa maradhi ambayo bado yanasumbua tiba yake. Wewe umeng'ang'ana na uvivu wa watu kufanya kazi. Au wewe ndio umekasirika kwa kuwa hiyo sio dawa ya kuleta utajiri? Elewa mada inayozungumziwa.
  10. L

    Zantel Ni Waongo? Hawana Maadili ya Biashara?

    Kampuni ya simu ya zantel kila ukinunua muda wa maongezi wanatuma msg ya ofa ya muda wa kuongea kulingana na pesa yako. Jana tarehe 2/3/2011 niliongeza sh. 5,000 kwenye simu yangu. Ilikuwa na sh.1,070 kabla, ikaongezeka na salio likasomeka ni sh. 6,070. Wakatuma msg na ninanukuu " Nd. Mteja...
  11. L

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Wafanya biashara wenye kujua nini maana ya soko la biashara, hawezi kukaa muda mrefu jina la kampuni/biashara yake ikichafuliwa. Tena katika ngazi ya kimataifa. Angalia jinsi viongozi wa ngazi ya juu kabisa wa BP walivyokuwa mstari wa mbele kuhakikisha jina na sifa ya kampuni haipati madhara...
  12. L

    Msafara wa Pinda wazua jambo Iringa

    "Pamoja na msafara wa waziri mkuu kutoka Uwanja wa Ndege wa Nduli kuwa na magari 54, yakiwemo ya watu binafsi, wabunge na viongozi wa vyama vya kisiasa, bado idadi ya magari ilionyesha kufikia 84 katika eneo la Mazombe, kwenye uzinduzi huo, baada ya magari mengine kutangulia katika eneo la...
  13. L

    Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

    Hivi inakuaje mwanamume unafanya tendo la ndoa, msisimko na kufikia kilele kama kawaida. Lakini mbegu wala maji maji yanayoambatana na mbegu hayatoki kabisa. Yaani hata tone moja halitoki, achilia mbali kuonyesha angalau dalili kwamba kuna chochote kilijaribu kutoka. Njia inaonekana kavu kabisa...
  14. L

    Watu billioni 3 kufa ifikapo 2050?

    Tuzungumzie chanjo. Tuzungumzie vyakula. Mimi kuwemo kati ya hao billioni 3 sio issue. Kama huna la kuchangia kwenye hoja ya msingi, kaa kimya.
  15. L

    Watu billioni 3 kufa ifikapo 2050?

    Una mawazo kama yangu. Hilo nilitilia shaka tangu mambo ya chanjo yaanze kwenye dunia ya tatu. Najiuliza hivi kuna haja kweli ya hizi chanjo? Vitamins tunapata kwenye vyakula na matunda. Hasa Mboga za majani. Matembele,kisamvu,mchicha n.k ambavyo ndio mboga zetu za kila siku walalahoi. Matunda...
Back
Top Bottom