Watu billioni 3 kufa ifikapo 2050? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu billioni 3 kufa ifikapo 2050?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tikerra, Sep 10, 2008.

 1. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2008
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nikiangalia mbele miaka 50 ijayo naona ni mbali sana.Sijui kama jamii hii ninayoiona leo ina ubavu wa kufika huko!Jamii imeoza,imekwisha kabisa.Si watoto wala wakubwa,maadili hakuna kabisa.Ngono,ukatili wa kutisha,watoto kutotii wazazi,tamaa za kila aina,kupenda anasa,'agressiveness' nk,Kwa ujumla jamii imechanganyikiwa,na inaelekea hakuna anayeelewa la kufanya.Mimi binafsi nimechunguza kwa muda mrefu matatizo haya.Nina mawazo,wenzangu mko huru kunipinga, lakini naomba anayenipinga atoe facts,sio blaa blaa tu.Kwanza naomba niseme kwamba matatizo haya yamezidi kuongezeka baada ya chanzo nazo kuongezeka,Kwahiyo natoa lawama moja kwa moja kwa chanzo tulizo nazo.Katika hili naomba serikali kwa nia njema kabisa kama kweli ni sikivu, ifanyie 'analysis' chanzo zote ili kuweza kubaini kama kweli ni salama kwa watoto wetu.Zipo taarifa za kuaminika zinazoonyesha kwamba huku kuongezeka kwa vitu kama kupenda ngono kupindukia na 'agressiveness' kunaletwa na hormones ambazo zimepandikizwa kwa siri kwenye chanjo.Hata dawa hizi tunazokunya mahosipitalini, kuna taarifa za kuaminika kwamba kuna kila aina ya sumu zilizowekwa huko, ili kupunguza idadi ya watu wanaokula bila faida.Kwa hiyo dawa nazo zifanyiwe uchunguzi wa kina.Uchunguzi huo kama tuna vifaa ufanyike hapa hapa nchini,tukipeleka 'samples' kwao watatupa 'data' za uongo.Wanasema wamechoka kutoa misaada.Taarifa zinaonyesha kwamba kuna mpango wa kupunguza watu billioni tatu ifikapo 2050.Wajinga hao wanaohusika na mpango huo wanaamini kwamba, dunia kama ilivyo sasa haiwezi kuhimili ongezezeko zaidi la watu,kwa hiyo wanatumia mbinu za kila aina ili kuwezo kufikia azma yao hiyo mbaya.Tusipo amka tumekwisha.Vita ni vikali mno.Wamesema hawatatutawala 'phisically' tena ila watatumia silaha za mbali.Mtanzania kama una akili timamu fikiria kwa undani Ngao ya vyandarua,waterguard,vidonge vya majira nk.Ni salama kweli kwako?List ni ndefu sana.Amka!
   
 2. L

  Lyambaa Member

  #2
  Sep 11, 2008
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Una mawazo kama yangu. Hilo nilitilia shaka tangu mambo ya chanjo yaanze kwenye dunia ya tatu. Najiuliza hivi kuna haja kweli ya hizi chanjo? Vitamins tunapata kwenye vyakula na matunda. Hasa Mboga za majani. Matembele,kisamvu,mchicha n.k ambavyo ndio mboga zetu za kila siku walalahoi. Matunda kama machungwa,embe na ndizii wakati wa misimu yake mpaka yanaoza kwa wingi. Now why chanjo ya hizo? Kama sio ajenda za siri?

  Kwa nini wanalazimisha kuwapatia chanjo watoto wakiwa shule? Si ndio wasomi wa baadae? Je, watoto wasiosoma wanawapatia wapi?

  Kwa uelewa wangu mdogo chanjo kama ya surua unapata mara moja tu. Kama hukupat na ukija ugua na kupona huupati tena huo ugonjwa.Kinga tayari imejijenga. Watoto wanaozaliwa siku hizi hupata hiyo chanjo wakizaliwa na wakati wa kliniki. Sasa mtoto anayesoma shule ya msingi chanjo hiyo tena ya nini? Kama sio kiini macho? Nakumbuka huko nyuma hizi chanjo zilileta tafrani nchini Nigeria.

  Wengi watasema hatujui tunaloongea. Lakini ukweli ndio huo. Kutudumaza na kuja kututawala tena. Je, majuu wanatoa hizo chanjo? Kama ndio, content zake sawa na zinazoletwa kwetu?

  Mnakumbuka chanzo cha vidudu vya ukimwi? Ni majaribio ya kwenye maabara.Walengwa?
  Tafakari.
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,125
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Una ushahidi wowote wa hiyo claim?? Au unamwaga story za vijiweni hapa?
   
 4. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Ukiwemo na wewe katika hao BILIONI 3 na wewe umejihesabia au sio
   
 5. L

  Lyambaa Member

  #5
  Sep 12, 2008
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tuzungumzie chanjo. Tuzungumzie vyakula. Mimi kuwemo kati ya hao billioni 3 sio issue. Kama huna la kuchangia kwenye hoja ya msingi, kaa kimya.
   
 6. M

  Magehema JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2008
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umefika wakati wa kujiuliza mara mbili mbili kuhusu hizi chanjo, napata wasiwasi pia. Iweje vitu ambavyo vinapatikana katika vyakula vyetu vya kila siku tuchanjiwe?
   
Loading...