Recent content by Lyamba lyaMfipa

  1. L

    NYARAKA: Wizara ya Madini iliidhinisha thamani ya Almasi ya Sh. Bilioni 14 kama thamani ya awali kusubiri mnada Ubelgiji

    Mkuu Imapamasa si vyema sana kuuamainisha Umma kitu usichokuwana utaalam nacho. Kiichotokea ni kwaamba values walizo declare hao watu wa Mwadui sio halisi... ( undervalues) kwa kila category ya hiyo Diamond. Na akwa kukusaidia tu .. hata hiyo bei iliyotolewa naw wataalam wetu ni whole sale...
  2. L

    Geographical information systems

    Uko pande zipi za Tz?
  3. L

    Msaada: Kuchora coordinates, histograms and solving linear programming using computer

    Mkuu uko pande zipi? Kwa Hisogram ... unaweza kutumia Xcell or any statistical software.... Cooerdinates ni lazima uwe na GIS softwsres (ArcGIS, ....etc...) au Surfer/ Geosoft.... Hebu ni inbox
  4. L

    Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

    Mkuu hebu ni pm huyo jamaa wa dutwa. Nimefanya kazi dutwa kipindi kirefu mkuu....
  5. L

    Vyama vya siasa vipewe muda vikamilishe Mahesabu-PAC

    Mkuu MTAZAMO umesema kweli tupu...... Naona watu wengi tunaliangalia hili suala kiushabiki zaidi...(Kama Simba na Yanga vile) haka ka tabia ka double Standard katakuja kutugharimu sana kama taifa. Inakuwa haina maana kama watu tunataka upande Fulani tu uwe msafi wakati kwetu ni pachafu. Cha...
  6. L

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Nadhani kuna watu wanachanganya mambo. Katika hili suala la Mifuko ya jamii, sherai hiyo mnayopigia s=debe itakandamiza sana watu wa sekta ya madini. Na ndio maana tumekuwawatu wa kwanza kabisa kuipoinga kwa nguvu zetu zote... na kadri siku zinavyoenda itadhihirika ya kwamba, sheia hii kwa...
  7. L

    Bodi ya mikopo imepata wapi mamlaka haya?

    Hawa jamaa wa Bodi ya Mikopo hawako serious... Mimi nimekuta jina langu.. la mdogo wangu la Baba yangu. Sasa sijui huyo mzee nae wanamdai kwa kusoma lini. Ofisini kwetu wameshafika zaidi ya mara tatu, na kila wakija wanauliza maswali yaleyale, lakini pesa hawakati. Lakini swala la kujiuliza...
  8. L

    Waarabu-chanzo cha uvivu na umasikini kila walikopita?

    Ndugu, nadhani kuna point tunapoteza, hivi mnaongelea waarabu gani? maana kama ni issue ya uvivu na umasikini labda mnaongelea waarabu wa Tanzania.. (nasindwa sijui niwaitaje..) Kabla sijapata nafasi ya kutoka nje ya Tanzania, nilikuwa na mawazo yanayofanana na hayo. Na zaidi ya hilo nilikuwa...
  9. L

    GE2010 Kwa nini Zitto Kabwe na Freeman Mbowe hawakukampeni Mikoa Lindi, Mtwara, Songea?

    jamani kabla ya kutoa hoja tuwe tunajiuliza mara mbilimbili. Ki ukweli huizi threads zingine ninashusha hadhi ya JF. halafu huyu jamaa (Jerusalem) hoja zake nyingi tu huwa zina utata.
  10. L

    Ukanda wa pwani kuna laana gani?

    Mbona kama mnaandika ki shabiki? Huku ughaibuni hayo mambo yanafanyika kwa uwazi kabisa. Siku tumefika kuanza masomo hapa uholanzi, moja ya mambo tuliyokutana nayo ni kuelezwa kuhusu haki ya Mashoga. na kama unataka kurudi kwenu mapema basi korofishana na hao jamaa. hayo mambo hayana uhusiano...
Back
Top Bottom