MsukumaBlack
Member
- Dec 20, 2016
- 33
- 15
Habari wakuu, Natumaini Tanzania tuna watalaam wengi sana wa GIS. Tukutane kwenye Uzi huu Kuulizana pamoja na kubadilishana uzoefu katika field hii ya GIS. Uzoefu wa software mbalimbali pamoja na jinsi ya kufany project mbali mbali kwa kutumia science hii ya GIS.