Recent content by Lwakalisa

  1. Lwakalisa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Nikishinda Ubunge nitamleta Schwarzenegger mwaka mpya Arusha

    Hatari na nusu
  2. Lwakalisa

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa online wa loss report kunani?

    Ni kweli kuna usumbufu Sana. Wiki iliyopita nilikuwama nikaenda buguruni karibu na police post, kuna stationary wakanipiga 5000 na wanaverify kabisa
  3. Lwakalisa

    JamiiForums Tanzania Kanuni za mpira tulipokuwa watoto

    Hii Kali kuliko
  4. Lwakalisa

    JamiiForums Tanzania Kwa malezi haya ya watoto wa kizazi hiki, ni bomu linalokuja

    Nimeguswa na aina ya maadili waliyonayo watoto wa kizazi cha leo, ni kama wazazi wameacha majukumu yao katika malezi. Wakati wa malezi yetu tulifundishwa hasa watoto wa kiume shughuli zote za nyumbani, ili kuwa tayari kukabiliana na changamoto za maisha. Pia kwa watoto wakiume walipewa mafunzo...
  5. Lwakalisa

    JamiiForums Tanzania Chombezo: Bao tatu za mgeni!

    Tena jamaa yupo fasta ukilipa
  6. Lwakalisa

    JamiiForums Tanzania Chombezo: Bao tatu za mgeni!

    Ila jamaa namba zake fake zote hazipo active
  7. Lwakalisa

    JamiiForums Tanzania Chombezo: Bao tatu za mgeni!

    Mtu mwenyewe Kitombise shubaaah mit
  8. Lwakalisa

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa kilimo cha pilipili

    Wadau naomba kujuzwa. Nimelima pilipili ila baada ya mzao wa pili kwenye majani imejitokeza kama ukungu kwa chini na mimea ni kama imeanza kudhoofu. Tafadhali nini sulihisho sbb nimejaribu kuzunguka na jani kwa maduka ya pembejeo majibu ni kama yanachanganya. Ahsanteni.
  9. Lwakalisa

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nimepakua video na kuziweka kwenye flash zinaandika not supported

    Habari wana jf, Nimedownload music videos katika laptop yangu shida inakuja pale ninapoweka katika flash ili niangalie kupitia dvd napata message not supported. Nashindwa kuelewa tatizo nini hasa ahsante.
  10. Lwakalisa

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta docking station

    Wandugu natafuta twinmos hd docker model DS2535-HD31P ni muhimu sana
  11. Lwakalisa

    JamiiForums Tanzania Guest /Lodge Mafinga

    Merlin hotel
  12. Lwakalisa

    JamiiForums Tanzania Tahadhali/tahiyari kwa watumiaji wa vinywaji baridi aina ya COCACOLA

    nahamia kunywa chibuku fullstop
  13. Lwakalisa

    JamiiForums Tanzania Hongera JJ Mnyika, leo JK anazindua daraja la Golani

    Kwetu ss wakazi wa golani mnyika mkombozi wetu. Tuache blabla, kaleta mabadiliko kwa muda mfupi tuliokuwa naye
  14. Lwakalisa

    JamiiForums Tanzania Anayejua kuhifadhi maji ya mvua

    nashukuru wakuu mmenipa mwanga nafanyia jazi ushauri wenu
Back
Top Bottom