Anataka ashinde mara ngapi?Hivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au?
================
Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema katika kusherehesha shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya atamleta muigizaji maarufu duniani Arnold Schwarzenegger jjini Arusha.
Makonda ameyasema hayo akizungumza katika mkutano wa kampeni leo ljumaa Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge kuzungumza na wafanya biashara.
View attachment 3476052
Hatari na nusuAisee ! Ndiyo maana mwanangu aliniuliza swali tata kabisa , eti baba hivi ni Kwanini jua linatoka mchana wakati usiku ndiyo Kuna giza.. nafungua JF nakutana na nyingine . Kwa sasa Kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake
Imenifikirisha kwakweli.... 😀😀Aisee ! Ndiyo maana mwanangu aliniuliza swali tata kabisa , eti baba hivi ni Kwanini jua linatoka mchana wakati usiku ndiyo Kuna giza.. nafungua JF nakutana na nyingine . Kwa sasa Kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake
Bashite hana vyetii 😂 😆 in GWAJIMA voice.Legend Anold akija ataleta chakula na ajira na kujenga stand ya mabas Arusha.
Huu ni mwendelezo wa zarau za walamba asali kwa wananchi
kmmke bashite.
Kwa Swaziniga(kama alivyoitamka) ndiyo moja ya vipaumbele vya wapiga kura wa Arusha?Hivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au?
================
Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema katika kusherehesha shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya atamleta muigizaji maarufu duniani Arnold Schwarzenegger jjini Arusha.
Makonda ameyasema hayo akizungumza katika mkutano wa kampeni leo ljumaa Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge kuzungumza na wafanya biashara.
View attachment 3476052
shoziniga wa n.y.o.k.oHivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au?
================
Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema katika kusherehesha shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya atamleta muigizaji maarufu duniani Arnold Schwarzenegger jjini Arusha.
Makonda ameyasema hayo akizungumza katika mkutano wa kampeni leo ljumaa Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge kuzungumza na wafanya biashara.
View attachment 3476052
labda wadudu ndio watakuwepotarehe 1 atakuwa arusha au??
gentleman,😀😀😀😀 gentleman Tlaatlaah hizi ndo akili zilizojaa hapo lumumba