Recent content by LUZYOKELEZI THE 2

  1. LUZYOKELEZI THE 2

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna waliofanya usaili tarehe 10 October 2025 lakini Leo Tena Kada hiyo hiyo limetoka tangazo la kaza ikiwa hata Bado hawajapangiwa vituo vya kazi waliofanya usaili. Hii ina maana gani wataalamu?
  2. LUZYOKELEZI THE 2

    JamiiForums Tanzania Kupimiwa Eneo

    Mkuu kama hautojali ninaweza kukuunganisha na mtaalamu ambaye yupo huko Mimi nipo Kanda ya Ziwa katika moja ya Halmashauri.
  3. LUZYOKELEZI THE 2

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu bila shaka mnaendelea vizuri katika kupambania kupata Check Number. Naomba msaada namna ya kuondoka CHETI cha Taaluma kwenye mfumo wa kutuma maombi Utumishi (ajira portal)
  4. LUZYOKELEZI THE 2

    JamiiForums Tanzania Wanaojua Kiingereza tu: Karibuni tuchati kwa Kiingereza

    I have real motivated to start conversation with anyone in this thread. Please, if interested reply to this post.
  5. LUZYOKELEZI THE 2

    JamiiForums Tanzania Hizi maski za utumishi ukizicheki utajua kabisa tu kuna mtu kapigwa

    Raha ya hizo Marks ni, zote zinagawanyika Kwa mbili (2) pia interval kati ya marks moja na nyingine ni mbili (2) [emoji23][emoji23]. Utumishi hadi raha ni mwende wa kukadiria tu
  6. LUZYOKELEZI THE 2

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

    Kwa yeyote anayepatikana maeneo ya KAHAMA na anajihusisha na hii biashara naomba kujua yafuatayo kuhusiana na hii biashara: 1. Location ambayo ukiweka biashara hii unaweza kupata walau faida japo kidogo 2. Kiasi Cha chini Cha mtaji ambao mtu anaweza kuanza nacho 3. Maduka ya jumla yanayouza...
  7. LUZYOKELEZI THE 2

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Database ya wizara ya Ardhi imefikiwa ngoja nikae mkao wa kulamba asali
  8. LUZYOKELEZI THE 2

    JamiiForums Tanzania Vijana hawa wanakipaji Cha Kuimba Muziki wa BONGO FLAVA, support yako muhimu kwao.

    Mambo ndo huanza hivi hivi usishangae siku moja unahudhuria shows zao bila kujua
  9. LUZYOKELEZI THE 2

    JamiiForums Tanzania Vijana hawa wanakipaji Cha Kuimba Muziki wa BONGO FLAVA, support yako muhimu kwao.

    Wakuu bila shaka siku inaenda kadri mwenyezi Mungu anavyojalia. Nisiwachoshe Kwa maneno mengi, naomba niende moja Kwa moja kwenye mada. Binafsi nimetokea kuvutiwa Kimuziki na hili kundi la Vijana wawili "THE FiVa" ambalo nimekuwa nikilifuatilia toka mwanzo. Ni Vijana wawili ambao wameungana...
  10. LUZYOKELEZI THE 2

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Sehemu ya usaili ni wapi wakuu maana wengine tupo njia panda
  11. LUZYOKELEZI THE 2

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shuhuda zimekuwa adimu siku hizi
  12. LUZYOKELEZI THE 2

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Toa copy vyeti vyako harafu hizo copy ndo uka'certify Kwa mwanasheria. Kumbuka kwenda na original certificates Kwa mwanasheria maana kabla haja'certify hiyo copy lazima aone original yake kwanza.
Back
Top Bottom