Recent content by Luwoneka

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Samehe kaka kumbuka hata mkombozi wa dunia hii alisamehe wale waliomsulubu msalabani mpaka. Kumuua ni. nani asiye na dhambi kaka? Usinyooshe kidole kimoja kwa mwenzio huku vingi vinakutazama wewe. Samehe na utubu.
  2. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnamkomboa nani?

    Yatupasa kuwa makini na siasa hizi kwani pasipo umakini mkubwa tutaiangamiza nchi yetu, kikubwa ni kupata viongoz walio makini kwa maslahi ya nchi yetu.
  3. L

    JamiiForums Tanzania NOAH yaua abiria wote!

    Jamani sheria ichukue mkondo wake ili kukomesha hali hii na kuondoa wingu hili la malumbano
  4. L

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji Mkubwa dhidi ya Ubakaji na Kapuya

    Hebu tuzungumzia suala hili kwa umakini mkubwa na kutanguliza uzalendo wetu kwanza, kama haya yapo au hayapo?
  5. L

    JamiiForums Tanzania mwalimu naomba ushauri

    Pole sana mdada but siyo kihivyo sana wewe potezea tu na infact umeongeza idadi ya kutokewa au sio?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Ronaldinho!

    Ni ukweli kabisa 2cje kupeleka pongez zetu kwa mtu ambaye hajui kama kuna kitu kama hicho, chemshen mbongo kwa kina
Back
Top Bottom