Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,427
- 10,749
- Thread starter
- #41
Pole sana mkuu, umeona maiti walivyochapatika? Sijui Moro ina nini? Mara wakulima na wafugaji, mara ajali, dah! Mungu atufumbue macho.Mkuu ndo nimepita mda huu naelekea Mwanza,dah yani haifai hata kuwa chuma chakavu imekuwa nyang'anyang'a! Hamu ya safari imekufaa kabisa yani, nashindwa kudrive. Dah mbaya sana ngoja nipumzike kidogo nitafune mahindi ya uchemsha kwanza.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums