CHADEMA mnamkomboa nani?

CHADEMA mnamkomboa nani?

hatari heri shetani kuliko cdm!? Lkn kila raia anauhuru wa kutoa mawazo yake.
 
Hata nyie magamba mtakombolewa tu kutoka kwenye huo utumwa wenu wa fikra za kifisadi.KUMBUKA MUNGU HUWANYESHEA MVUA WENYE HAKI NA WASIO HAKI.
 
hatari heri shetani kuliko cdm!? Lkn kila raia anauhuru wa kutoa mawazo yake.

Shetani wa watz ni ccm na vitendo vyake vya kifisadi,ujangili,uuzaji wa dawa za kulevya,ubakaji,mauaji ya raia kupitia ccm na tissiem,uchawa (kumbuka chenge bungeni) na kila aina ya uchafu.2015 huyu ibilisi ccm tutamtupa kwenye ziwa la moto ambako mafisadi na vibaraka vyake kama wewe mtalia kilio cha kusaga meno.
 
Yatupasa kuwa makini na siasa hizi kwani pasipo umakini mkubwa tutaiangamiza nchi yetu, kikubwa ni kupata viongoz walio makini kwa maslahi ya nchi yetu.
 
Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania[/QUOTE
]
Whereas
Shetani=CCM

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania
77%......
 
Hahaha hahaha hahaha magamba ni chama kinacho endeshwa katika misingi ya ubakaji wa wasichana chini ya miaka 18...wizi, ufisadi, rushwa , uongo, umbeya , unafiki, uchawi na uzandiki.

Na cdm kinaendeshwa kwa wizi wa wake za watu.!
 
CHADEMA inakomboa watoto wanaobakwa na kunajisiwa na MaCCM huku wakiambukizwa ukimwi na makapuya bila hatua zozote kuchukuliwa na dola iliyowekwa mfukoni na mafisadi wachache...

CHADEMA inakomboa Tembo wanaouliwa kila kukicha na makinana ambayo ndio maviongozi ya juu ya maccm huku Tembo wakibaki helpless na hatarini kutoweka wakati hakuna mwanaccm hata mmoja anayewajali...

CHADEMA inakomboa akina mama wanaojifungua kwa kulala sakafuni, wanaobahatika kulala kitandani wanalala wanne, huku mafisadi ya CCM yakitibiwa nje ya nchi au katika hospital zao chache teule. Mafisadi ya CCM yamejitenga na walalahoi, wao V8 sisi Bajaj ambulance...

CHADEMA inakomboa watoto wa watanzania wanaosoma kwa kukaa chini, bila kuwa na vitabu wala maabara na mwishowe wanaishia KUONJESHWA ELIMU. Watoto hawa walioonjeshwa elimu bila kuipata wanaishia kuteseka na maisha magumu bila ajira na hivyo kugeuka wachuuzi na bidhaa mikononi huku mabinti wakiamua kujiuza ya maccm makapuya yanawaambukiza ukimwi na ndoto zao za maisha zinazimika...

More to come...

Inamaana mtoto wa mbowe anaesoma uingerza ameisha kombolewa?
 
hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa tanzania
sijaona mantiki wala hoja yoyote ktk uzi wako. Jitahidi kuwa karibu na wanafalsafa ili wakusaidie ''kureason''.
 
Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania

Chadema ni saccos ya wapiga dili! Mpaka hao wanaojiita makamnda(wengine hawajapitia hata mgambo) waje kushtuka wanakaskazini watakuwa wameshapiga hela kinoma!
 
Shetani wa watz ni ccm na vitendo vyake vya kifisadi,ujangili,uuzaji wa dawa za kulevya,ubakaji,mauaji ya raia kupitia ccm na tissiem,uchawa (kumbuka chenge bungeni) na kila aina ya uchafu.2015 huyu ibilisi ccm tutamtupa kwenye ziwa la moto ambako mafisadi na vibaraka vyake kama wewe mtalia kilio cha kusaga meno.

Kumbe ni chama cha wapiga dili sio! Ama kweli chadema mmetokota! Hamna dili! Kutwa Kapuya,ndicho mlichoanda ktk sera zena tangua kuanzishwa hiyo chagadema?
 
CCM ndo inamalizia muda wake.Mwaka 2015 ndo kwisha habari yake. Ccm kimekuwa ni chama cha WEZI,WABAKAJI,MAJANGIRI,WAUAJI WA KUTUMIA Polonium NA MABOMU,WATEKAJI WA WATU NA KUUWA NA KUJERUHI,WARUTUBISHAJI WA RUSHWA NCHINI and more to come .............. Ni bora shetani kuliko CCM ya JK.
 
Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania

Dah! Pole kaka kwa kuwa na mawazo finyu sana namna hiyo ktk karne hii! Kumbuka kuwa hili ni jukwaa la THE GREAT THINKERS! I hope you are not among them,ndio maana umelichagua li shetani CCM! Pole sana!
 
mimi mwenyewe mwanafalsafa,sihitaji wanafalsafa uchwara

Wanafalsafa uchwara ni wepi? Nilichokushauri uwe karibu na wanafalsafa, sijakuelekeza uende kwa nani wala kukutajia ni yupi. Pole ndg yangu naona umehamaki.
 
Kunawatu wao wanawajua waliopanga kuwakomboa majina yapo kwa mzee slaa.
 
Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania

Komba alishaimba CCM ina wenyewe....na wapinzani tunajua kuwa CCM ina wenyewe......
Kama hujui,utaishia kulamba buku saba lakini chama kina wenyewe!
 
Back
Top Bottom