Recent content by LUWALE

  1. L

    Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    sasa hivi tutakagua na uraia wao
  2. L

    Ukweli kuhusu alama ya mnyama inayosemwa kwenye biblia na namba 666

    Kwani biblia iliandikwa kwa lugha gani? Wewe uoni unajitafsiria mwenyewe. Weka maneno katika lugha yake ksma ni kiebrania alafu ndio utafsiri. Kama aliyetafsiri kutoka kiebrania alikosea je tafsiri yako itakuwa sahihi? Kuna doubt nyingi kwenye hiki kitabu by the way
  3. L

    TMA: Leo Desemba 3, 2021 kutakuwa na mvua kubwa katika maeneo ya Pwani, wa mabondeni chukueni tahadhari

    Hawa jamaa naongea sana wanapoteza pesa nyingi kwa kusafiri nje ya nchi. Hakuna lolote. Wanategemea utabiri wa wa vyombo vya nje ndio wanafanya utabiri wao. Wanawachanganya sana wakulima. Ni bora hili shirika lufutwe lisiwepo kisha wananchibwawe wanaambiwa kupitia CNN na BBC
  4. L

    kikao cha dharula kwa watumiaji wa kitimoto tukutane

    Butcher zq Nguruwe zimejaa kama uyoga. Zinauzwa sehemu zilizokatazwa kikatiba. RC MAKALA baada ya wamachinga zihamishe pia na hizi butcher kama katiba inavyotaka
  5. L

    Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

    HUO NI UONGO MKUBWA KABISA. NCHI HII HAINA CHOMBO ZAIDI YA POLISI KWA UPELELEZI TUNAKOSEA SANA TUNAPOLIAMINI JESHI L polisi kutoa taarifa..HATUNA LA KUSEMA MUNGU ATAHUKUMU HAKI KESHO . TZ IMETAMALAKI DHULUMA TU KWA NINI NASEMA NI UONGO KWA DEREVA WA MALOLI KAMA MIMI NI IMPOSSSIBLE...
  6. L

    Hatari ya machinga

    Machinga ni kundi dogo wala halitishi. Ni makosa aliyoyafanya JPM kuwaweka barabarani. Angalia Dumila amewajengea ndani ya reserve ya barabara. Kuna siku nilikwenda Dar eneo linaitwa Mbagara ni hatari nilitembea kwa miguu kwa taabu kubwa kwani machinga wapo barabarani kabisa yaani unalazimika...
  7. L

    Taarifa kutoka TRA kuhusu kubadilisha umiliki wa chombo cha moto

    Mie naona watu wataacha magari nyumbani na kupungua kwa mapato kupitia mafuta. Ila wachache watakomaa na kudeal na matrafiki kwa kuwapa buku 2
  8. L

    Taarifa kutoka TRA kuhusu kubadilisha umiliki wa chombo cha moto

    Bado kuna shida waliowekwa hawajui jinsi ya kuongeza mapato.Nasikitika na nchi yangu. Sidhani kama aliqualify kwenye hii taaluma au ndio zile paper zinazovuja huko ajira portal. Hapo kutakuwa haina haja ya wanasheria. Kazi ya kukagua gari na kuwepo kwa wanauhuziana linamalizwa na vehicles...
  9. L

    HOTUBA YA JPM ITAKAYOPATA KUISHI MILELE

    Hakuna lolote. Kwani Tanzania tunauza madini moja moja kwa kwenye Soko la dunia? Au tunaziuzia kampuni kwenye local market na wao wanawauzia matajiri wakubwa wa middle east na Asia ambao makumpuni ya nchi zao ndizo wanauza kwenye soko la dunia??? Hakuna alichoongea pumba tupu. Kumbuka...
  10. L

    Toka mahakamani: Nyeti zatoweka!

    Wakifanya wengine ni miujiza wakifanya waafrika ni uchawi...ha ha ha...mzungu bana.yaani mababu zao waliokufa mnawaita watakatifu wakwenu ni mizimu hahaha. Wauluze wenyewe hicho ni katika dini yao?,,,,,
  11. L

    Tazama namna watoto wa shule walivyobananishwa kwenye hili gari

    Mbona sio wengi. Hiyo Hiace inajaa watu 20 na wao wapo 25 tu. Kaonewa Dereva. Waje Morogoro vijijini waone Gari kama hiyo Dyna inajaza watu 40 mpaka juu ya carrier na mizigo ya mhaindi maharage ndizi zinapandalisha nao milima ya Uluguru. Waje waone Moro Mgeta Nyandira wanavyojaza
  12. L

    Bunge lasitisha Shughuli zake ili kujadili bei ndogo ya Mahindi nchini

    umenichekesha wewe. jaribu kuomba kibali cha kufanya biashara ya mazao nje ya nchi. ndio utajua urasimu ni nini?. utatembea wewe kutafuta vibali mpaka mahindi yatakutana na ya mavuno ya mwakani hujapata kibali
  13. L

    True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

    hapana mkuu, mimi nina account 1 tu humu. na ananifahamu mtu mmoja tu humu. siwezi fanya kama wanavyofanya wengine si vizuri kutaja ila wanaaccount 7. naeleza kisa cha kweli hakuna hata chembe ya uongo
  14. L

    True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

    SEHEMU YA 5 Naomba niendelee kidogo leo kwa wale wanaofuatilia. Maisha usikate tamaa. Jaribu kila linalowezekana ingawa tu kiwe ni cha halali na usizulumu mtu. Mungu si athumani. Mgaa na upwa hali wali mkavu.. Basi mbele niakona kama kiza hivi na ilikuwa ni ishara ya kundi kubwa sana la ndege...
Back
Top Bottom