Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,418
Baada kusikia habari ya bandikizi la figo za nguruwe kukubali kwa mwanadamu ni meshtushwa sana.
mwenyekiti mjumbe wa kamati sasa kuwa bidhaa hadimu au kupanda bei.
kupanda bei kwake kutatokana na waitaji wa figo kwa kuwa uchinjaji wake utakuwa ni wakitaalamu na dau kubwa mwenye mifugo kulipwa.
kikao hiki tunaomba tuandae ajenda ya kupinga wanasayansi kutuingiza kwenye sito fahamu walaji wanatupeleka wapi.
maana kama figo za nguruwe zitaanza kulipa kuna nchi zitaanza kuwekeza sana swala la nguruwe na kupanda thamani !
kama saudi arabia,malasyia,afghanstan,morocco,somalia na n.k
kupata pesa za kigeni kwa sana! [emoji1]