TMA: Leo Desemba 3, 2021 kutakuwa na mvua kubwa katika maeneo ya Pwani, wa mabondeni chukueni tahadhari

Utabiri wa hali ya hewa uliotolewa na TMA umeonyesha kanda ya Pwani itakuwa na mvua kubwa siku ya leo.

Wananchi wa mabindeni chukueni tahadhari.

Source: ITV habari
Tumeshachoka na hizi Tahadhari za TMA. Halafu kwanini mnawashauri Watu wa Mabondeni wahame wakati Wao Wenyewe wanapenda kukumbwa na Mafuriko ili Wafe na wapumzike na Maisha magumu waliyonayo?
 
Hawa jamaa naongea sana wanapoteza pesa nyingi kwa kusafiri nje ya nchi. Hakuna lolote. Wanategemea utabiri wa wa vyombo vya nje ndio wanafanya utabiri wao. Wanawachanganya sana wakulima. Ni bora hili shirika lufutwe lisiwepo kisha wananchibwawe wanaambiwa kupitia CNN na BBC
 
Tumeshachoka na hizi Tahadhari za TMA. Halafu kwanini mnawashauri Watu wa Mabondeni wahame wakati Wao Wenyewe wanapenda kukumbwa na Mafuriko ili Wafe na wapumzike na Maisha magumu waliyonayo?

5760EE9E-6CD1-4FBF-9A0D-46B2DB21205F.jpeg
 
Utabiri wa hali ya hewa uliotolewa na TMA umeonyesha kanda ya Pwani itakuwa na mvua kubwa siku ya leo.

Wananchi wa mabondeni chukueni tahadhari.

Chanzo: ITV habari
Hahaha hiki ni nini tena....bora wakae kimya...nchi ipo hoi kwelikweli au nasema uongo ndugu zangu...
Mitano tena kwa Samia.
 
Back
Top Bottom