Kinachoshangaza ni kuwa watu wengi wanalaumu serikali na sio mkandarasi. Kwa upande mwingine Dogo anatakiwa aachiwe tu huru kwasababu yeye ni whistle blower.
Technically, siasa ilivyo rahisi ni Muheshimiwa kumchukulia hatua mkandarasi halaf anajizolea point zote 3 maisha yanaendelea.
Yaani we ndio kwanza kutumia hiyo mifumo. Ushashikwa na shida sanaa tu na ukasaidiwa kwa tigopesa au mpesa.
Nije kwenye point ya kishetani na Antichrist. Naamini wewe ni muislam, na kama unasoma Qur'an bas ntakayoongea hapa utayaelewa vzuri tu.
Mwenyezi Mungu kwenye Qur'an anamfananisha...
Sasa iombe radhi iliiweje?? Mtu yanapomfika majanga hupewa pole, kumfariji, na msaada ikibidi sio kuombwa msamaha.
Utaratibu wa matibabu ya Wabunge inajulikana. Wanabima ya afya, ambayo huwezesha kumsafirisha na kupewa matibabu ndani na nje ya nchi. Ambapo bima ya afya hiyo imeingia mikataba na...
Tumechelewa sana. Hapa serikali ndio ilikuwa ikikosa fedha nyingi mno. Harmonization ilitakiwa iwepo kwa Mitandao yenyewe.. Sio kuwaangushia mzigo Wananchi. Haya ndio mabadiliko.
Ninamshaka na kilichopo kichwani mwako, unafikiri kila anaekwenda UN anazungumza kiingereza?
Obama hamkumzika Mohamed Ali kisa mwanae ana graduate. Marais kutoka sehem mbalimbali walikwenda kumzika..?
Ulimwengu wa diplomasia sio wa kishabiki wa kisiasa kama unavyodhani.
Well.. Everyone has a story to tell.. Ni changamoto tu za kidunia. Love isn't easy. Stay strong, hiki ni kipindi cha mpito tu love never ends but its gonna shape up your attitude so be very careful with yourself.
Make a self analysis kujua ulipojikwaa and move on huku ukijaribu kutatua...
Tunataka kutengeneza mlima kwenye kichuguu. Tunaongea sanaa.. Tupunguze kelele tupige kazi.
Tanzania bado ni nchi huru, tuiienzi kwa mapenzi yaliyo ya dhati sio unafki. Tunamaadui wengi zaidi nje kuliko sisi kwa sisi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.