Upo sahihi sana ndugu. Nimeishia SA. Hizo BMW, Mercedes, etc bei zake zipo chini haswa. Wengi wanao zinunua mi lazima waingie kwenye maintenance plan (Bima ya Matengenezo) ambayo huisha ikifikia kilomita 1,000,000. Baada ya hizo kilomita hata kuliuza mtaani ni shida kwa kuwa watu wengi wenye...
No one is like ROMA....yupo mbali sana katika sanaa ya muziki. Hajui kukopi, hajui kushindana na mtu, yeye anajua kupiga kazi za viwango. Hongera sana ROMA
Naona uzee unamwingia kwa kasi na hivyo ameanza kusahau watu anao watumikia. Yee anatakiwa amuheshimu Rais wa TEC ambaye ndo mkuu wa Kanisa la Roma hapa nchini. Baraza la TEC lina mamlaka makubwa sana katika kutoa matamko kama hayo na halijawahi kukosea. Ametuangusha sana waRoma na TEC kwa ujumla
Katika hizo sheri ambazo zinahusu kosa moja, ni lazima sheria moja iwe na nguvu zaidi kuliko zote. Ile iliyo Na nguvu kuliko zote ndo inatakiwa kutumika. Haiwezekani faini zote hizo tatu ziwe katika kosa moja. Haileti maana
Kwenye PR au communications kuna kitu kinapata art of negotiations or persuasion. Kuna watu wazuri sana kwenye hii kitu na wengine ni wadhaifu. Makampuni mengi ya wazungu wanaofanya kazi globally huwa wana vitengo au watu wa kazi hiyo. Kwa kifupi ni walaghai na wanaweza fanya chochote kutimiza...
Hata mazungumzo ya mdosi mbele ya waandishi wa habari yalikuwa wazi kuwa watalipa baada ya mazungumzo ambayo yanalenga win-win situation. Sisi thankfulness kuwa kukubali kulipa. Hao jamaa ni wazuri sana wa negotiations. Wanaweza kutupiga kilaini
Tuna pupa ya kulipwa kwa sababu tunaamini tumeibiwa sana. Lakini ukifuatilia mwenendo wa utatu huu, kuja kwa mdosi wa Barick kumepunguza Ile tension iliyo kuwepo.Kutoka lazima watulipe hadi tutafanya nao mazungumzo. Jamaa anacheza PR
Tatizo ni uelewa wa kiingereza na matarajio makubwa. Mzungu kasema tutafanya mazungumzo yenye lengo la win-win situation. Sisi tunasema wamekubali kulipa. Malipo yatategemea matokeo ya mazungumzo. Angalizo hawa waxungu ni wazuri sana wa negotiations. Tusipokuwa makini tutapigwa kiulaini sana mezani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.