zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,099
- 28,785
Mkuu maana ya kura ni ipi?? Hivi demokrasia maana yake ni nni?? Watu hawapingi maendeleo ila kuna vitu vichache kwenye bajeti wanapinga sasa unapogeneralise kuwa wanapinga una maana gani??? Yaani zitto alikataa bajeti ya wizara ya maji kwa kuwa imepunguzwa bajeti hivo basi na yye asipelekewe maji kigoma??? Na wala asiulize swali kwenye bunge kuhusu maji???Jenista kapiga swali la msingi sana hawa wabunge wanaopinga bajeti wasiruhusiwe kabisa kuuliza maswali yakimaendeleo kwakuwa hawataki maendeleo.
Kumbuka bajeti ikipitishwa inahesabika ni bunge zima irrespective ya nani kakataa nani kakubali sasa kma kisheria ni bunge limepitisha ni wajibu wao kuisimamia serikali kwenye utakelezaji wa kilichopitishwa
Kma mnataka ipitishwe tu basi isiletwe bungeni maana haina maana kabisa