Miaka mingi imepita lakini nahisiwa mimi nimemroga

Ni mgonjwa. Inaweza kuwa kisukari na mengineyo.Akapime vipimo vyote ugonjwa utagundulika kuliko kuwazia uchawi tuuuu. Ugonjwa umeshambulia mishipa ya fahamu inaweza kuwa fungus kwenye kichwa etc kwa hisia zangu.
 
Tapeli ni tapeli tu mkuu, bila kuangalia wewe ni tapeli wa aina gani. Ila yote ukimtendea mwenzako unyama tegemea na wewe kupata zaidi ya huo
Malipo ni hapa hapa duniani
 
Naona uelekeo wa mjadala uko katika kumhukumu na kumuona huyo dada ndo alikuwa Msaliti na ya kwamba anastahili hiyo mitihani anayo pitia Kwa sasa! Lakini Mimi Kwa mtazamo wangu naona siyo Sawa kumhukumu huyo dada unless tungeweza kupata ukweli toka pande zote husika, pia jamani Kwenye mahusiano ya kimapenzi kuachana ni jambo la kawaida wala siyo big issue, wanaachana wanandoa ambao wanatambulika kisheria sembuse hayo mahusiano yasiyo rasmi? Hayo yalitokea Na wengine huamini kuwa pengine haikupangwa wawe wanandoa!
Mkuu mijajadala hapa jukwaani siku zote huwa ya upande mmoja na wala hatuwezi kulizuia suala hilo, maana wanajamvi watatoa ushauri kulingana mada husika, hatuwezi kusubiri upande wa pili maana twajua hautakuja hapa ili kukanusha
 
Ushaur nenda kwa huyo binti mwambie ww uhusiki na lolote na ulishamsamehe na una maisha yako ili kuondoa mawazo machafu vichwan mwa ndugu wa huyo binti
 
Pole sana mkuu. Endelea kuomba Mungu maana wanachofikiria zaidi ni uchawi wakati magonjwa yapo siku zote na wanaougua ni sie wanadamu. Wakikupigia simu washauri kwenda kuwaona wataalamu na kujia tatizo ni nini hata kwenda kwenye maombi pia.

Wakati mwingine watu wanapowauguza wapendwa wao akili zinakuwa nyingine wanaweza hata kufanya mambo yasio sahihi kwako unatakiwa kuwa imara kwa imani yako
 
Naona uelekeo wa mjadala uko katika kumhukumu na kumuona huyo dada ndo alikuwa Msaliti na ya kwamba anastahili hiyo mitihani anayo pitia Kwa sasa! Lakini Mimi Kwa mtazamo wangu naona siyo Sawa kumhukumu huyo dada unless tungeweza kupata ukweli toka pande zote husika, pia jamani Kwenye mahusiano ya kimapenzi kuachana ni jambo la kawaida wala siyo big issue, wanaachana wanandoa ambao wanatambulika kisheria sembuse hayo mahusiano yasiyo rasmi? Hayo yalitokea Na wengine huamini kuwa pengine haikupangwa wawe wanandoa!
Analaumiwa dada kwa kuwa mtoa mada anatuhumiwa kuwa ni mchawi baada ya mambo yake kuharibika
 
Nimeshtuka sana wakuu na pia nimekosa raha, kwa sababu sina kabisa
mambo ya kishirikina.

Ni miaka mingi sasa imepita toka nimchumbie yule binti, si hivyo tu nilimlipia
ada ya chuo baada ya wazazi wake kushindwa, tena nilijibana kwelikweli kwani
nilitegemea atakuwa mama wa watoto wangu.

Tatizo lilikuja kujitokeza alipopata kazi, kuna mwarabu koko aliingilia kati uhusiano wetu
na kumnunulia gari la kutembelea. Kwa kifupi mimi nikafutwa kwenye himaya yake.

Nilipoulizia inakuwaje? Nikaambiwa nipige hesabu gharama zangu nirudishiwe,
wakuu sikudai chochote mpaka hii leo!

Juzi nimepigiwa simu na mdogo wake akiniomba kama kuna kitu nimefanya basi
nimsamehe dada yake kwani anateseka sana. Nilijaribu sana kumuuliza kimetokea nini
hakunijibu ameishia kulia tu!

Jana baada ya kufanya uchunguzi wa kina ndipo nikagundua kuwa yule binti kwa sasa
haoni na amepofuka kabisa macho yake, si hivyo tu ndoa yake na yule mwarabu imevunjika
baada ya tatizo hilo. Kinachonikera ni kuwa ndugu wote wanaamini kuwa mimi ndie
niliyemroga.

Sasa Toka mwaka 2006 mpaka leo mbona muda mrefu umepita? Mimi nilishamsahau
huyu binti kwa alichonifanyia na kwa sasa nimeoa. INANIUMA SANA WADAU.

Ungefanya mahafali mkuu kushangilia kupofuka na kuachika kwake ili umalizie kuonekana kigagula ndio hao walifurahia ndugu yao kuwa na mwarabu koko na kukuacha maana walijua wataneemeka kupitia muungano wa gegedeo la mwarabu koko na papuchi la ndugu yao
 
Mkuu dont entertain them. Tena wasikuletee upumbavu wao. kama you know your conscious is very clear. Hata usiwape muda wa kuwasikiliza wanataka sehemu ya kitua mzigo watu.
 
Ungefanya mahafali mkuu kushangilia kupofuka na kuachika kwake ili umalizie kuonekana kigagula ndio hao walifurahia ndugu yao kuwa na mwarabu koko na kukuacha maana walijua wataneemeka kupitia muungano wa gegedeo la mwarabu koko na papuchi la ndugu yao
Mh!
 
Back
Top Bottom