Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini

Nafikiri chombo cha usafiri hutusaidia kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Chombo hicho kikiweza kufanya hivyo lengo linakuwa limetia. Mambo ya maonesho ni ishu hiyo nyigine.


YESU NI BWANA.
 
Jaribu kuchunguza kwann Unayo gari uliyonayo , I mean ni vigezo gani vilikufanya umiliki hiyo gari. ? Wengi mliangalia CC...plus Upatikanaji Wa Spare . ... maanake ni nn , mnaogopa Gharama za mafuta. .. Kuogopa Gaharama ni nn , kuogopa gharama maana yake ni kutokua na uwezo wa kujitosheleza/kua na uwezo mdogo wa kukabili majukumu makubwa.
Ni kweli lakini we jamaa ni li korofi na ligomvi
 
Nadhani bado watu wengi wana uelewa mdogo sana wa magari.
Kwa kifupi ni kwamba used BMW and the like kama Benz, Audi etc sio gharama kununua. Na sio kweli kuwa watanzania wameshindwa kununua hayo magari. Mimi binafsi nimetumia BMW mara tatu ( 3series, 5 series and x3) but now I switched back to Toyota. Sababu kubwa ya kuacha kutumia BMW is the fact that they're are very unreliable cars .... it's nearly every month I must go to mechanics to fix something....tukiwa wadogo we used to hear that Germany's cars are the most durable cars but now today folks...the problem with Germany's cars today is that they've been over engineered...too complex with unnecessary complex technologies....these freaking complex computer stuffs makes them so unreliable. .
In short if you have go money to burn then just buy them...I call them the money pit machines... They look great from the outside but so unreliable cars
Upo sahihi sana ndugu. Nimeishia SA. Hizo BMW, Mercedes, etc bei zake zipo chini haswa. Wengi wanao zinunua mi lazima waingie kwenye maintenance plan (Bima ya Matengenezo) ambayo huisha ikifikia kilomita 1,000,000. Baada ya hizo kilomita hata kuliuza mtaani ni shida kwa kuwa watu wengi wenye uelewa wa changamoto za matengenezo yake huwa hawataki hata kuyaona. Hapa Bongo mtu akionekana na BMW au Mercedes anaonekana bonge la tajiri hata kama thamani ha hiyo gari ni chini ha Rav4. Shida ya uelewa ina waangamiza wengi. Mengi ha hayo magari yanaozea gereji mchangani kwa kukosa spea za kawaida kabisa
 
Hakuna nchi haziuzwi used car hata Japan kwenyewe kuna maduka ya used cars. Acha ushamba mtoa mada

........................Hata Marekani (USA) wanauziana magari yaliyotumika, kwa ujumla ni biashara inayofanyika dunia nzima tofauti ni vigezo tu. Nahisi mtoa mada ana hasira labda huenda amenyimwa lift na jirani (hisia zangu tu)
 
Back
Top Bottom